mjuba101
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 159
- 65
Ndugu wadau kumbe Sababu za mauaji ya tabata its pure Ufoo saro type of scandal, yaan Mama mzazi anakula dili na bintie kwa Asilimia 100%.
"Uhusiano wa Christina na Munisi
Rafiki wa Munisi aliyejitambulisha kwa jina la Samwel Alex alisema Christian alikuwa mchumba wa Munisi na walikuwa wamepanga kuoana.
Alisema Munisi baada ya kuwa na wasiwasi na mchumba wake ndipo alipoamua kumpigia simu mama mzazi wa Christina na kumwambia kuwa amesikia mwanaye yupo hapo Dar es Salaam lakini alikataa na kumweleza kuwa amesafiri kwenda Moshi.
Ninawafahamu kwa muda mrefu, Christina alikuwa anafanya kazi Barclays Bank na Munisi ni mchumba wake wa muda mrefu kwani alikuwa anajulikana hata kwa ndugu zake wote, alisema Alex."
Pia kwa mujibu wa confirmation kutoka Hospital awaliokufa ni wawili tu pamoja na Munisi mwenyewe, wengine wote ni majeruhi.
Source: Mwananchi magazine