Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ZAMBIA- A Lusaka man has reportedly snatched his Chinese boss’ wife as payback for non-payment of salary in due time. The man who was angry over the delaying of his salary by the Chinese boss...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Ukiona mtu anatafuta mume na kusema, mume anatakiwa kuwa na miaka 35+ jua moja kwa moja anataka mwanaume aliyejipanga tayari kimaisha, ikimaanisha bibie anataka akija akute kila kitu tayari...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums, Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Wakuu bila shaka hamjambo! Katika kazi yangu ya counseling nimekutana na cases mbalimbali. Kabla ya kuanza kutoa huduma huwa kuna hatua ya kwanza ambayo ni kuperuzi historia ya mteja (clients)...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wanajamvini, ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu yenu. Embu twende moja kwa moja kwenye hoja, hivi wewe kama mume ndani ya nyumba yako, pindi mwenzako anapofanya tukio la...
8 Reactions
449 Replies
27K Views
Sio wote uliowahi kuwa na uhusiano na wewe ni watu genuine. Wengine wapo kwa sababu zao wenyewe.. Kwa kua wizi wa Identity umeshamiri.. Nawapa tu reminder especially wale wenye mahusiano na...
13 Reactions
47 Replies
5K Views
Imagine umekaa miaka miwili ndani ya ndoa lakini mkeo hajashika ujauzito, siku upo na simu ya mkeo inaingia meseji kutoka kwa mtoto wa dada yake mkeo " Bibi (mama mkubwa wa mkeo) amesema huwezi...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu? Yeah, leo ninaondoka kwenda nje ya mji wa dar ninaenda mkoani kikazi na nitakaa huko kwa takribani wk 2.Kama msemo usemao,ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO,basi nimefanya uamuzi wakuset video...
14 Reactions
110 Replies
14K Views
Siku nilivyolala na mke wa mtu kiutani utani tu. Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Iringa kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni). Niliiingia ndani ya...
33 Reactions
69 Replies
12K Views
Natumai hamjambo wanabodi. Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni...
23 Reactions
237 Replies
15K Views
  • Closed
Habari zenu wana Jf. Naomba msaada wa mawazo ========== Mchango Mmii nina govi na sasa nina miaka 29. Nimesoma boarding skuls nyingi tu na mpaka sasa nimefanya degree na nipo kazini. Kiukweli...
5 Reactions
214 Replies
56K Views
Habari za asubuhi WanaJF? Leo nataka kujua ukweli wa hiki kitu, utamjuaje mtu mzinzi kwa kumwangalia machoni? Ushawahi kuitwa mzinzi na mtu asiyekufahamu kwa kukuangalia usoni? Kwa upande wangu...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Kwa kauli hizi za machizi wa kitaa na marafiki Kuhusu ndoa mbona itanichukua muda kuoa. Kwasababu wananiambia ndoa ni ngumu inakufanya uwe na stress inakuongezea majukumu mazito. Uache uvulana...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Alisikika mke wangu baada ya maongezi mafupi.. nikamuuliza kulikoni unataka mtoto ghafla hivyo? Akaniambia nimetoka home mama akaniuliza vipI tayarI tumboni.. pia mashangazi wakaanza kuniambia mhh...
14 Reactions
31 Replies
5K Views
Kuna siku moja nilienda mkoa x kikazi, na katika timu niliyoikuta huko nilikutana na jamaa yangu mmoja nilisoma naye chuo miaka kadhaa iliyopita. Sikuwa na mahusiano naye ya karibu huko nyuma...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilijikuta tu si unajua mdomo kuteleza jamani Mama mkwe kaja kanikuta nadeki bila hata kuomba dekio afute miguu au hata avue viatu ndio aingie ndani, yeye akapita vile vile na maviatu yenye...
6 Reactions
119 Replies
16K Views
Kuna watu wajinga sana kwenye suala liitwalo mapenzi. Anamwita demu mpenzi huku K anaipata kwa kutoa fedha. Unaweza kutoa fedha lakini isiwe ndio mchezo kwamba usipotoa pesa demu hakuelewi...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na...
17 Reactions
147 Replies
11K Views
KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA! Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu...
6 Reactions
155 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…