Tunapendana sana lakini hakuna anachojua ila nataka nimsaidie!

Atuganile Mmari

Senior Member
Mar 14, 2018
158
252
Wasalaam jf,

Nina mahusiano na mkaka huyu ambaye tunapendana sana na Mungu akipenda tunatarajia kuoana kabla ya mwezi wa saba

Toka tumeanza mahusiano hatukuwahi kufanya mapenzi na yeye ndie alikuwa anasisitiza sana tusifanye mpaka tutakapooana, nikawa najiuliza huyu mtu ana tatizo gani, nikawa namfanyia vituko namchezea chezea nione kama anaweza kusimamisha nikaona anaweza, nikabaki najiuliza tatizo bila majibu.

Majuzi hapa kaja akiniomba tufanye nikaona isiwe kesi tuko kwenye hatua za mwisho tuingie kwenye ndoa, tukaingia chumbani nakili huyu kaka hana matatizo yoyote ya kimaumbile lakini hakuna anachokijua kwenye mapenzi, yaani anataka apande tu kama kuku, yaani vile romance hata kidogo tu hajui kama kuna kitu kama hicho! Naamini hakuna mkamilifu na hakuna aliyezaliwa anajua.

Nampenda sana ananipenda pia naapa sitokuja kumsaliti nataka nimsaidie lakini nawaza atanifikiliaje? Je, sitamtia wasiwasi juu ya uaminifu wangu kwake? Nimeanzisha tabia ya kumuwekea romantic movie tunaangalia pamoja lakini sioni kama anaelewa!

Wadau naombeni ushauri kama kuna njia yoyote naweza kuitumia nimsaidie huyu mwenzangu aelewe japo kidogo tu angalau namna kumuandaa mwanamke asili yake ni mtu wa kanda ya kati huko!

NB: hili sio tangazo la kutafuta mwanaume naombeni msaada tu wa njia ninazoweza kuzitumia kumsaidia huyu mume wangu mtarajiwa.

Asanteni
 
Sasa mdada si umfundishe ,wew mwenyewe ulifundishwa mpaka ukawa na madiploma so ni muda wako sasa wa kuwa lecture
 
Ukweli ni kiwa wanaume tunafundishwa mapenzi na wanawake nakuhakikiahua tu kuwa ngono ni asili ila mapenzi ni elimu iliyopo kichwani kwa mwanamke mfano Eva/Hawa kwa Adamu.

Sasa dada angu wala usihofu jamaa yako ni bikira wala si mshamba, kwa hiyo mfundishe mambo ya utupuni kama Eva alivyomuonesha Adamu kuwa wapo uchi.
 
Ukweli ni kiwa wanaume tunafundishwa mapenzi na wanawake. nakuhakikiahua tu kuwa ngono ni asili ila mapenzi ni elimu iliyopo kichwani kwa mwanamke mfano Eva/Hawa kwa Adamu.

Sasa dada angu wala usihofu jamaa yako ni bikira wala si mshamba, kwa hiyo mfundishe mambo ya utupuni kama Eva alivyomuonesha Adamu kuwa wapo uchi.
kama ana mpima je!!
 
Yeye hana wa kucompare, wewe unae wa kuwacompare nayeye apa ndo shida inapo anzia. Tumia akili nyingi sana jinsi ya kumfundisha usiwe na parapara, endelea nae kuchek nae izo move ukiwa nae karibu na ujaribu kama kuiga izo move kwake ili aelewe kua unaiga na sio uzoefu wako, pili ndoa pamoja na tendo la ndoa lakini tendo la ndoa sio kila kitu so mwenzio bado hajalipa sana kipaumbele kwa kipind iki so kua makini sana, utundu zaidi utamuonyesha honeymoon coz ndo seem pekee mda mwing mnawaza tendo la ndoa
 
Hii ndio shida ya dada zetu, unampata mdada anauzoefu wa vibamia, mihogo, na michezo mingine michafu kwa uchache wanaume 69, unakuja kumpata kijana wa watu aliejitunza, anaiheshimu imani yake unaanza kulaumu, musioane tafuta fundi mwenzio kwa maslahi ya baadae.
Ukishaingia ndani ya nyumba baadae utaona lengo lako la kuolewa limekamikika ila tamaa/hamu yako ya tendo la ndoa haikidhiki kwa mwanaume ulienae mwashoe ni kuchepuka na kumvuruga kijana wa watu.
 
Kwa asili tangu kuumbwa mume ndie mwalimu wa mke

Mwanamke kumfundisha ngono mwanaume ni dhihaka hata kwa muumba wake

Chagua moja kuolewa nae hivyo hivyo ilimradi ana tabia nzuri au tafuta mume ajuae majamboz lkn tabia yake si nzuri

Kiufupi una mtihani ukiolewa nae huyo ipo siku isiyo na jina utachepuka tu
 
Back
Top Bottom