Hanigusi mpaka mimi nianze

FundiNgoma

Senior Member
Dec 26, 2019
132
264
Wakuu nipo njia panda hapa, shemeji yenu ana tatizo moja sijui ni tatizo sijui ni kitu gani, yaani katika swala la tendo la ndoa hana muda kabisa yani

Tunaweza kulala mpaka asubuhi hajanigusa huku natamani aanze maana kwangu mimi Mgegedo unaninogea kama wote tuna mood sio mimi tu ndo niwe na mood kila siku mpaka huwa najistukia sometimes visababu kibao eti amechoka ,Hili jambo huwa linaniumiza maana mimi ni moja ya wanaume ambao hatuna time na hizi mambo za kuchepuka

Nilishajaribu mara kibao kumweleza lakini mafanikio hakuna na yeye anaona yupo sawa tu wakuu nishaurini kwenye hili

Kama huna ushauri bora ukae kimya
 
Tunaweza kulala mpaka asubuhi hajanigusa huku natamani aanze maana kwangu mimi Mgegedo unaninogea kama wote tuna mood sio mimi tu ndo niwe na mood kila siku mpaka huwa najistukia sometimes visababu kibao eti amechoka ,Hili jambo huwa linaniumiza maana mimi ni moja ya wanaume ambao hatuna time na hizi mambo za kuchepuka ..
A- Je hana tatizo la kiafya? kama kisukari
B- Je anatumia njia mojawapo ya uzazi wa mpango?

A na B hapo juu hupunguza libido kwa kiasi kikubwa sana, na swala la tendo huwa kama kero kwa mhusika maana hana hisia yoyote.

Ongea naye tena. Huenda akakuelewa na kuacha uvivu iwapo hana tatizo la kifya lolote
 
A- Je hana tatizo la kiafya? kama kisukari
B- Je natumia njia mojawapo ya uzazi wa mpango?

A na B hapo juu hupunguza libido kwa kiasi kikubwa sana, na swala la tendo huwa kama kero kwa mhusika maana hana hisia yoyote.

Ongea naye tena. Huenda akakuelewa na kuacha uvivu iwapo hana tatizo la kifya lolote
Hatumii chochote kati ya hivyo mkuu,ngoja niendelee kumuhimiza japo nimeshaongea sana mpaka nahisi nachoka
 
Kuwa nae karibu zaidi na umfanye awe rafiki, muweke wazi kipi hupendi na kipi unapenda ..
 
A- Je hana tatizo la kiafya? kama kisukari
B- Je anatumia njia mojawapo ya uzazi wa mpango?

A na B hapo juu hupunguza libido kwa kiasi kikubwa sana, na swala la tendo huwa kama kero kwa mhusika maana hana hisia yoyote.

Ongea naye tena. Huenda akakuelewa na kuacha uvivu iwapo hana tatizo la kifya lolote
Hujatoa solution je ikiwa anatumia njia mojawapo ya uzazi wa mpango afanyeje ili kurejea katika hali ya zamani?
 
Back
Top Bottom