Unapokutana na jambo kama hili unaweza kufa, halafu ukaja ukazimia na mwishoni kupata kichaa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,353
11,497
Miezi kadhaa iliyopita kabla ya Corona mkeo alienda Nairobi kuchukua mzigo kwa ajili ya biashara zake. Alitakiwa akae siku tatu. Lakini akakaa wiki mbili akisema anakusanya mzigo na maelezo mengi mengi. Hukuwa na mashaka naye.mara nyingi mliwasiliana kwa whatsapp call na ni mpaka yeye akupigie.

Leo unaamka na kuingia kwenye group lenu la wanafunzi mliosoma wote unakutana na habari ya Mzungu Oliver ambaye ametembea na wanawake zaidi ya 150 huko kenya. Na kapiga nao picha kabisa. Jamaa anaelezea jinsi ambavyo amewaambukiza wanawake hao ngoma.

Unaangalia angalia picha unakuta kuna picha ya my wife wako nayo ipo pale na mzungu wamelaliana.unaangalia kwa umakini ni yeye 2020. Unatoa macho kabisa hivi...NI YEYE BADO. unaenda angalia nguo alizovaa kwenye picha kabatini.bado NI YEYE 2020.

Haina ubishi. Je kama ndiyo WEWE Unafanyaje. Leo hujaenda kazini ila yeye yupo kazini.
 
Ni YEYE ni hati miliki ya T.I.D. Ila CCM na CHADEMA nao wanaitaka.

Ni YEYE huyo!
 
Unamwita TID unamwambia abadilishe hatimiliki kutoka Ni yeye kwenda Si yeye

Sio poa hiyo ni sawa na Msiba usikie kwa jirani tu sio kwako
 
Back
Top Bottom