Niliyempenda na kumpa kila kitu naona kama ananipotezea muda

Midazolam

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
807
1,337
Amani iwe nanyi.

Nimedumu kwenye mahusiano yapata miaka 3 na miezi 6, sijawahi kutoka nje ya mahusiano na sikuwahi kushiriki tendo la ndoa ndani ya muda huo wote.

Nikiwa bize na mambo yangu ya kutafuta hela, kwa moyo wangu mweupe sipendi uongo kwenye maisha yangu, naona bora tu nitafute maisha mengine.

Anayekupotezea muda anakupotezea maisha.

Ni hivyo tu
 
Duuuuh poleeeh sana, kuna rafik angu (virgin) yupo ktk mahusiano na mkaka huu mwaka wa 4 hawajawah kushiriki tendo la ndoa.

Na huyo mkaka anampenda San rafik angu, yaan kajitoa mazima, lakini kumbe rafik angu hata hana future nae, it means wanapoteza muda tyuuuh tena pasipo hata kusex.

Namuonea huruma San, kumuweka uwazi nashindwa kwa kuhofia kupoteza makubaliano yao. Na kuonekana mie mbaya.

Really naumia mnoo kuona mtu anachezewa hisia zake, na kupotezewa muda.
 
Duuuuh poleeeh sana, kuna rafik angu (virgin) yupo ktk mahusiano na mkaka huu mwaka wa 4 hawajawah kushiriki tendo la ndoa,
Na huyo mkaka anampenda San rafik angu, yaan kajitoa mazima, lakini kumbe rafik angu hata hana future nae, it means wanapoteza muda tyuuuh tena pasipo hata kusex,
Namuonea huruma San, kumuweka uwazi nashindwa kwa kuhofia kupoteza makubaliano yao. Na kuonekana mie mbaya.
Really naumia mnoo kuona mtu anachezewa hisia zake, na kupotezewa muda.
Mbona naona kama unanizungumzia
 
Amani iwe nanyi.

Nimedumu kwenye mahusiano yapata miaka 3 na miezi 6, sijawahi kutoka nje ya mahusiano na sikuwahi kushiriki tendo la ndoa ndani ya mda huo wote.

Nikiwa bize na mambo yangu ya kutafuta hela, kwa moyo wangu mweupe sipendi uongo kwenye maisha yangu, naona bora tu nitafute maisha mengine.

Anayekupotezea muda anakupotezea maisha.

Ni hivyo tu

Mapenzi Hayana Chama
 
Duuuuh poleeeh sana, kuna rafik angu (virgin) yupo ktk mahusiano na mkaka huu mwaka wa 4 hawajawah kushiriki tendo la ndoa.

Na huyo mkaka anampenda San rafik angu, yaan kajitoa mazima, lakini kumbe rafik angu hata hana future nae, it means wanapoteza muda tyuuuh tena pasipo hata kusex.

Namuonea huruma San, kumuweka uwazi nashindwa kwa kuhofia kupoteza makubaliano yao. Na kuonekana mie mbaya.

Really naumia mnoo kuona mtu anachezewa hisia zake, na kupotezewa muda.
Mh wewe na mleta uzi mnatudanganya. Hayo mahusiano ya miaka yote bila sex huku mtu amejitoa hivyo yanapatikana sehemu mbili tu. Kwa shigongo na tamthilia za telemundo
 
Duuuuh poleeeh sana, kuna rafik angu (virgin) yupo ktk mahusiano na mkaka huu mwaka wa 4 hawajawah kushiriki tendo la ndoa.

Na huyo mkaka anampenda San rafik angu, yaan kajitoa mazima, lakini kumbe rafik angu hata hana future nae, it means wanapoteza muda tyuuuh tena pasipo hata kusex.

Namuonea huruma San, kumuweka uwazi nashindwa kwa kuhofia kupoteza makubaliano yao. Na kuonekana mie mbaya.

Really naumia mnoo kuona mtu anachezewa hisia zake, na kupotezewa muda.
Huyo rafiki yako atakuja kuliwa na mtu ambaye ni wakawaka tu.
 
Duuuuh poleeeh sana, kuna rafik angu (virgin) yupo ktk mahusiano na mkaka huu mwaka wa 4 hawajawah kushiriki tendo la ndoa.

Na huyo mkaka anampenda San rafik angu, yaan kajitoa mazima, lakini kumbe rafik angu hata hana future nae, it means wanapoteza muda tyuuuh tena pasipo hata kusex.

Namuonea huruma San, kumuweka uwazi nashindwa kwa kuhofia kupoteza makubaliano yao. Na kuonekana mie mbaya.

Really naumia mnoo kuona mtu anachezewa hisia zake, na kupotezewa muda.
Huyo rafiki yako nae ni shoga Kama wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom