Wanaume na sisi tudate na wanawake wenye Hela

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Habari Wana JF.Kwa sasa mjini eti unaambiwa msingi pesa sio maujanja. Wanawake wakitaka kudate na mtu utaskia utaweza mziki wangu hela unazo au ndo tutazungushana.

Sasa huwa najiuliza na sisi tuamue tuwe tunadate na wanawake wenye hela zao. Wanawake si huwa wanadai haki sawa nadhani kwa hilo tutakuwa tumezingatia haki na usawa.

Sio eti wao tu ndo wanataka wanaume wenye pesa zao na sisi tutake wanawake wenye pesa zao.
 

2.3813809844083492E18.jpg
 
Back
Top Bottom