Jamani nini dawa ya mwanamke mkorofi?

Omega2010

Member
Nov 9, 2010
28
5
Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini sijui ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia anisaidie.

Aksanteni
 
Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini cjui ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia anisaidie.
Aksanteni

Inabidi mkaishi kisiwa kisicho na watu,...maake mtu asiye penda watu ni hatari kila anapokutana nao....ni kama mimi nisivyopenda mbu_yaani najitaidi nisikutane nao...lo!
 
Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini cjui ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia anisaidie.
Aksanteni

Vipi performance yako kitandani inaridhisha...kama lah basi anza na hilo kwanza hakikisha unamshughulikia kisawasawa mi ninakuhakikishia hutasikia rabsha tena...
Pili, jaribu kutafuta ndugu yako wa kike ambaye unaamini ukoo mzima wanamgwaya kwa ukorofi then mlete hapo kwako kwa jukumu moja tu la kuhakikisha anamchamba huyo mkewo hadi ajione si kitu...
 
Ushauri wako wa pili nimeupenda.
 
i was thinking the same hapo. otherwise ampe likizo ya muda, mama mwenyewe atajirudi. hii imekaa ki-udaku vile, wamchambue kama karanga lol
 
  • Thanks
Reactions: THT
Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini cjui ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia anisaidie.
Aksanteni

Ukorofi kaanza lini? Kama mwanzo hakuwa hivyo basi nakuhakikishia there is something behind her ukorofi! Nakushauri mpeleke kwenye maombi na mtaftie psychologist huenda ukatatua tatizo lake. Angalizo pia kwako, huenda wewe nawe ndo sababu ya ukorofi wake, jichunguze pia na kisha uchukue hatua.
 
Umekaliwa Wewe, saikolojia ya mini?

QUOTE=Omega2010;4664076]Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini cjui ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia anisaidie.
Aksanteni
[/QUOTE]
 
Mpunguzie misosi, akiwa na njaa sidhani kama atakuwa na ubavu wa kuwa mkorofi.
 
Aisee, duniani kuna mitihani!
Kwani ukorofi alianza lini? Kabla hamjaanza kuishi pamoja, muda mfupi ama mrefu baada ya kuanza kuishi? Inawezekana kuna suala ambalo hamuelewani ndio sababu (mfano, kama hamjafunga ndoa anaweza kudhani ndio anakusukumia kufanya maamuzi). Kaa nae, muongee ujue ana shida gani. Na mfikirie suluhisho.
 
wewe kiboko!!!
Vipi performance yako kitandani inaridhisha...kama lah basi anza na hilo kwanza hakikisha unamshughulikia kisawasawa mi ninakuhakikishia hutasikia rabsha tena...
Pili, jaribu kutafuta ndugu yako wa kike ambaye unaamini ukoo mzima wanamgwaya kwa ukorofi then mlete hapo kwako kwa jukumu moja tu la kuhakikisha anamchamba huyo mkewo hadi ajione si kitu...
 
Pelekea moto wa kisawa sawa, mpe confidence, kaa nae ongea nae kwa utani lkn unampa vidonge. wakati umeshapiga bao unaweza kumuuliza vp shughuli ya leo akicheka unachomekea kama utani. she will change. akishindikana basi karogwa.
 
Back
Top Bottom