Wanawake walio na marafiki wengi wa kiume wana furaha

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Wanawake wenye marafiki wengi wa kiume wana furaha ukilinganisha na wale wenye marafiki wengi wa jinsia kama yao..!

Vice Versa pia wanaume wenye marafiki wengi wa kike wanafuraha ukilinganisha na wale wenye marafiki wengi wenye jinsia Kama ya kwao...

Nafikiri sababu ni Kutokana na jinsi upendo ulivyogawanyika kwa watu wa jinsi moja
Ukilinganisha na upendo ulivyogawanyika kwa wale wenye jinsia tofauti.
 
Mwanamke mwenye rafq wengi wa kiume kwenye m ahusiano mmh hawaoni jipya kwa wapenzi wao, mkikorofishana kidogo tu unaskia kwwn upo peke yako..shida kweli..
 
Jibu ni kweli furaha ipo Tena kubwa Sana, isipokuwa shida inakuja kwa jamii na watu wangine wengi uchukulia mtu huyo ni Malaya sana.

Ila ukwel ni kwamba una kuwa huna stress muda mwangi unafurahia maisha na marafiki
 
Wanawake wenye marafiki wengi wa kiume wana furaha ukilinganisha na wale wenye marafiki wengi wa jinsia kama yao..!

Vice Versa pia wanaume wenye marafiki wengi wa kike wanafuraha ukilinganisha na wale wenye marafiki wengi wenye jinsia Kama ya kwao...

Nafikiri sababu ni Kutokana na jinsi upendo ulivyogawanyika kwa watu wa jinsi moja
Ukilinganisha na upendo ulivyogawanyika kwa wale wenye jinsia tofauti.
Kwa wanawake sawa nakubali, they real enjoy it ila kwa wanaume kuna shaka kidogo
 
Back
Top Bottom