Stress ni nyingi ukiwa na Mpenzi kuliko kuwa Hitman

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Utake usitake kuwa na mpenzi kuna Stress nyingi kuliko kuwa Hitman, mtu anaechakata akiwa na hamu baada ya hapo anafanya mambo yake,

Mi ni muumini wa mapenzi ya haina hiyo ya Pili Hitman, Sinaga muda wa kukaa na kuanza kufikiria mapenzi, Nikibanwa na Hamu, naita zaga langu nachakata. Kama nikiona wote hawaeleweki natafuta mwingine chap nafanya yangu.

Hakika kuanzia niwe muumini wa mapenzi ya aina hii nimejikuta naishi kwa Amani zaidi maishani mwangu. Kwanza sina stress kabisa,pili naishi bila kuwaza wala kupewa lawama lawama zisizo na msingi. Sina wa kunisumbua kumtafuta tafuta kila muda.

Mimi naweza kuamka asubuhi kama sina mudi naweza shinda kutwa nzima mpaka kesho nisimtafute mwanamke yeyote, na ata wao wakinitafuta naweza nisijibu na inakuwa fresh tu.

Kikubwa ni kwamba huwa nawaweka wazi kabisa kuanzia kwenye mtongozo kabla ata ya kuchakatana nao kwamba

"mimi sio kwamba nakupenda nikisema kwamba Nakupenda nitakuwa nakuongopea ila natamani sana kuwa nawe,
we kama una mpenzi wako serious baki nae mi ninachoitaji kwako ni kitu kimoja tu mapenzi. Hii dunia tupo tunaishi muda mchache tu nikiwa mpenzi wako nitakupa stress kitu ambacho mimi sipendi. Wewe kama hutojari fanya tuwe kwenye mahusiano ambayo tukimisiana, we ukinimisi nitafute funguka tunakutana tupeane Raha, mi nikikumisi hivyo hivyo nakutafuta tunakutana tunapeana Raha. Tukitoka hapo kila mtu anafanya yake tunakuwa kama marafiki wa kawaida tu "

Kuhusu shida usinifiche ukibanwa kama naweza kukusaidia nitakusaidia tu , inakuwa imeisha hiyo. Hamuwezi amini kwa maneno yangu haya na ile kuwaambia ukweli wengi wao huwa wanakuwa tayari. Na pia nimegundua wengi wanakuwa kwenye mahusiano lakini wanakuwa hawana furaha, hawapati kile walikuwa wanategemea kukipata,

Sasa wakikutana na baharia kama mimi na hivyo huwa naongea ukweli tupu huwa hawapingi kazi yangu ni kuwapa Furaha tu kwa kuwatifua
.
Huku mimi nikibaki Single nisiekuwa na Stress mr HITMAN.
 
Ukiwa na mwanamke anaejielewa hutokaa upate stress katika maisha yako ingawa kupishana kupo, na speed yako ya maendeleo itakuwa faster sana. Tatizo tuna date au tunakuwa na wapenzi malaya malaya wasio jielewa kila wakiona suruwale na pesa wana lowa chini, hao lazima wakupe stress 😃😃😃😃 .
 
Ukiwa na mwanamke anaejielewa hutokaa upate stress katika maisha yako ingawa kupishana kupo, na speed yako ya maendeleo itakuwa faster sana. Tatizo tuna date au tunakuwa na wapenzi malaya malaya wasio jielewa kila wakiona suruwale na pesa wana lowa chini, hao lazima wakupe stress .
Ahahahaa Qumamaqe!! Kama kama jana nmemuona uzi wa fala flani ivi ety anaenda kugawa Kwa watu wengne ili kumkomoa mpenzi wake, yan awa viumbe awaaa
 
Kitu nilichojifunza kuhusu mapenzi

Siku zote usimwamini mwanaume au mwanamke ambae anakupenda ukawekeza moyo wako kwani siku mapenzi yakianza kupungua utakiona cha mtema kuni

Katika ulimwengu mwanaume au mwanamke ambae hajatulia ukiingia
Katika mahusiano naye huyu unaweza kudumu nae ktk mahusiano na asikupe heart break
 
hapo mwisho umemaliza kila kitu.
 
Ukiwa na mwanamke anaejielewa hutokaa upate stress katika maisha yako ingawa kupishana kupo, na speed yako ya maendeleo itakuwa faster sana. Tatizo tuna date au tunakuwa na wapenzi malaya malaya wasio jielewa kila wakiona suruwale na pesa wana lowa chini, hao lazima wakupe stress .
Naomba nisisitize..HAKUNA ALIEKO KWENYE MAHUSIANO YA MTU 1 ASIE NA STRESS
 
Ahahahaa Qumamaqe!! Kama kama jana nmemuona uzi wa fala flani ivi ety anaenda kugawa Kwa watu wengne ili kumkomoa mpenzi wake, yan awa viumbe awaaa
Muulize jamaa alipo muokota huyo manzi, na utazame kilicho mpelekea hadi kuingia huyo mtu kwenye uo uhusiano.. tunaokoteza sana mademu ndio shidaa 😀😀😀
 
Karibu sana ndugu Mjumbe wetu wa Chama Cha Mabaharia.

Vipi mtoto wa Diwani anaendeleaje?
 
Ukiwa na mwanamke anaejielewa hutokaa upate stress katika maisha yako ingawa kupishana kupo, na speed yako ya maendeleo itakuwa faster sana. Tatizo tuna date au tunakuwa na wapenzi malaya malaya wasio jielewa kila wakiona suruwale na pesa wana lowa chini, hao lazima wakupe stress .
This is true
 
Utake usitake kuwa na mpenzi kuna Stress nyingi kuliko kuwa Hitman, mtu anaechakata akiwa na hamu baada ya hapo anafanya mambo yake,

Mi ni muumini wa mapenzi ya haina hiyo ya Pili Hitman, Sinaga muda wa kukaa na kuanza kufikiria mapenzi, Nikibanwa na Hamu, naita zaga langu nachakata. Kama nikiona wote hawaeleweki natafuta mwingine chap nafanya yangu.

Hakika kuanzia niwe muumini wa mapenzi ya aina hii nimejikuta naishi kwa Amani zaidi maishani mwangu. Kwanza sina stress kabisa,pili naishi bila kuwaza wala kupewa lawama lawama zisizo na msingi. Sina wa kunisumbua kumtafuta tafuta kila muda.

Mimi naweza kuamka asubuhi kama sina mudi naweza shinda kutwa nzima mpaka kesho nisimtafute mwanamke yeyote, na ata wao wakinitafuta naweza nisijibu na inakuwa fresh tu.

Kikubwa ni kwamba huwa nawaweka wazi kabisa kuanzia kwenye mtongozo kabla ata ya kuchakatana nao kwamba

"mimi sio kwamba nakupenda nikisema kwamba Nakupenda nitakuwa nakuongopea ila natamani sana kuwa nawe,
we kama una mpenzi wako serious baki nae mi ninachoitaji kwako ni kitu kimoja tu mapenzi. Hii dunia tupo tunaishi muda mchache tu nikiwa mpenzi wako nitakupa stress kitu ambacho mimi sipendi. Wewe kama hutojari fanya tuwe kwenye mahusiano ambayo tukimisiana, we ukinimisi nitafute funguka tunakutana tupeane Raha, mi nikikumisi hivyo hivyo nakutafuta tunakutana tunapeana Raha. Tukitoka hapo kila mtu anafanya yake tunakuwa kama marafiki wa kawaida tu "

Kuhusu shida usinifiche ukibanwa kama naweza kukusaidia nitakusaidia tu , inakuwa imeisha hiyo. Hamuwezi amini kwa maneno yangu haya na ile kuwaambia ukweli wengi wao huwa wanakuwa tayari. Na pia nimegundua wengi wanakuwa kwenye mahusiano lakini wanakuwa hawana furaha, hawapati kile walikuwa wanategemea kukipata,

Sasa wakikutana na baharia kama mimi na hivyo huwa naongea ukweli tupu huwa hawapingi kazi yangu ni kuwapa Furaha tu kwa kuwatifua
.
Huku mimi nikibaki Single nisiekuwa na Stress mr HITMAN.
Wewe ni mimi kabisa sijawahi miliki demu et nikawa na stress nae japo wao wanajua nawapenda hata wakizingua wanasubir niwamind au nikasirike au nisitishe mahusiano mwisho wa siku nazuga nimeumia sana alafu nasema coz napenda ndo mana unafanya hv nikigeuza kisogo nacheka, maisha yanaendelea na nachakata fresh tu

NB :Condom ndo mpango mzima kama wewe ni muumini wa hii theory

Nikiwaambia washkaji wengi hawaamini ila wanakuja kushtuka sina mawasiliano na wanawake labda nikihitaj mchakato
 
Back
Top Bottom