Natumai hamjambo wakuu
Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa.
Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na...
Hello MMU members. The world is now occupied by the interests of people in relationships.
But funny enough is that No Love Nowdays. People have given Sex The First Priority in Relationships.
You...
Wakuu Salam Kwenu Za Weekend!
Kijana wenu nimefanikiwa kumpata rafiki ambaye mwaka huu sasa kanaleta story ya kuwa yeye ni bikra. Tulikutana Mwaka Jana Kwenye Taasisi Moja Mimi Nikiwa Mwajiriwa...
Wakuu natuamaini hamjambo na mnaendelea vizuri kwenye ujenzi wa nchi niende moja kwa moja kwenye mada. Nina mchumba ambaye natarajia kumuoa mwezi wa kwanza na uchumba wetu unakaribia miezi mitatu...
Ladies are incredibly clever, so touchy to the things of life, practically difficult to comprehend. They resemble book covers, the more you look the less you see.
Similarly as you can't pass...
Wakuu za sikukuu..
Tuendelee kupambana na hii Corona..
Hivi kwanini wanawake mnapenda kuweka roho ya kinyongo yaani naandika hivi mpaka najiuliza hiki nini..
Nina ndungu zangu wa damu...
Toka nmeanza kuwajua wasichana ni miaka minne iliyopita, nililala na msichana wa kwanza miaka minne iliyopita huyo ndo kama alinionesha ulimwengu.
ila toka miaka miaka minne ambayo nmewajua...
Habari zenu wazeee.
Leo nimekuja serious sana wakuu.
Kuna kitu kinanitatiza sana, mimi ni mkristo ila niseme ukweli sio mhudhuriaji wa kanisani kabisa yani ni mkristo tuu jina, ila familia na...
Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili...
Dah! Poleni sana kwa kweli nimesoma thread nyingi humu nakuta wanaume wanalalamika juu ya kudhulumiwa pesa zao na wanawake na mzigo hawajapewa
Kuna mwingine nae pia kaanzisha uzi eti demu...
Who doesn't like a good thing? Almost everyone does. Almost all men would say, they have their special spec on how their woman should be like, and the qualities she should possess. This is due to...
Cheating is one of the merciless facts of life, it has occurred with us all sooner or later in time, and it is basic to develop and figure out how to manage individuals and realize who to trust...
Waswahili walisema, “Kuzaa sio kazi, kazi kulea mwana”. Kama mzazi ni jukumu lako kuhakikisha mwanao anakua katika mazingira mazuri na elekezi ili kumfanya awe ni mwenye hekima kuanzia mdogo mpaka...
Aisee wanaume najua wengine hapa mpo kwenye mahusiano na wengine ndo bado wanatarajia kuoa.
Huwa vijana wana shauku sana pindi wanapotaka kuoa na huwa na mapendekezo mbalimbali juu ya wanawake...
WANDUGU WAPENDWA MNO JF LA FAMILIA.
Ndugu yenu Bujibuji a.k.a General Galadudu nimetumiwa video clip ya mke wangu usiku huu saa nne kamili akiwa kwenye kilinge cha mganga akinishugulikia...
Kama kunasiku nina furaha basi ni leo. Wiki kadhaa nyuma nilileta Uzi kuhusu mwanamke niliyempa ujauzito kwa kudhani kuwa namkomoa baadae aliniganda mpaka nkawa nakosa Raha kwa kuwa sikumpenda na...
Habari wapendwa wote. Leo nimependelea kuwashirikisha furaha kuu ninayoishi nayo mwaka wa pili sasa.
Ilikuwa hivi, Mwaka 2011 Nov nilianza mahusiano na bint mmoja wa Kikaguru akiwa kidato cha 3...
Kuna jirani yangu hapa anazidi kurefusha mjengo tu, nadhani ni hizi hela zaTASAF ni mrembo balaa huwa na muona kila siku jioni anatoka ila sijajua ni anakazi gani
Poleni na uchovu wakuu,
Ijulikane kua nyumba nlopanga haina dari na mie ni bachelor
Basi jana nimewahi zangu kurudi ghetto ili niwai kulala nisisikie mishindo yao (coz automatic huwa inanipa...
Kwa kizungu tunaita "embarrasment, haswa kwa tabia za hawa mifugo aina ya Mbwa.
Afadhali hata kwa Kuku maana walau Mtoto mdogo huweza kufikiri tu hawa kuku wanapigana ila sasa ndio pale upo...