Balehe na tamaa

Balehe na tamaa

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,419
Toka nmeanza kuwajua wasichana ni miaka minne iliyopita, nililala na msichana wa kwanza miaka minne iliyopita huyo ndo kama alinionesha ulimwengu.

ila toka miaka miaka minne ambayo nmewajua wasichana, hadi leo hii nmelala na wasichana 33, wote nawakumbuka majina, na kati ya hao watano ndo sina mawasiliano nao, ila wengine tunawasiliana.

na kati ya hao, ambae bado nadate nae ni mmoja tu.
 
Kazi tunayo nimeambiwa vyuo vimefungwa mpaka vije vifunguliwe November tutasoma mengi humu.
 
Toka nmeanza kuwajua wasichana ni miaka minne iliyopita, nililala na msichana wa kwanza miaka minne iliyopita huyo ndo kama alinionesha ulimwengu.

ila toka miaka miaka minne ambayo nmewajua wasichana, hadi leo hii nmelala na wasichana 33, wote nawakumbuka majina, na kati ya hao watano ndo sina mawasiliano nao, ila wengine tunawasiliana.

na kati ya hao, ambae bado nadate nae ni mmoja tu.
Kumbe ndio maana yalikukuta haya, kisha ukasingizia ni rafiki yako...[emoji23][emoji23]

Anatokwa na vitu kama usaha uumeni
 
Back
Top Bottom