Mke wangu yupo kwa Mganga muda huu kunishughulikia

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,029
2,000
WANDUGU WAPENDWA MNO JF LA FAMILIA.

Ndugu yenu Bujibuji a.k.a General Galadudu nimetumiwa video clip ya mke wangu usiku huu saa nne kamili akiwa kwenye kilinge cha mganga akinishugulikia. Aliyetuma hiyo video ni shosti wake, ambaye pia mimi nimekuwa nikimtumia kusuuza rungu pindi mke wangu anapokuwa kwenye mgomo wa kugegedwa.

Mke wangu ameondoka tangu asubuhi na ameniaga kuwa anaenda kwa shangazi yake lgogwe kumsabahi. Mke wangu anadai kuwa mimi si mwaminifu licha ya kwamba hajawahi hata kuona sms kwenye simu yangu lakini amekuwa akioteshwa nina mwanamke.

Najaribu kumpigia hapatikani.

Naambatanisha hiyo whatsapp video soon
 
Mapico

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
458
1,000
Akirudi mpige talaka 3 waganga wengi lazima washiriki tendo ili kumtia alama ya kudumu afae kwa matumizi ya siku zijazo.

"Ishi nao kwa wema lakini usiwaamini."
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,029
2,000
Mkuu igongwe nilikuwa na kamchepuko kangu nilikuwa naka piga muwa kalikuwa kana kaa kwa aunty yake isije ikawa ndiyo hako ume kaoa.
WE UTAKUWA NI X BOYFRIEND WAKE WA 69 TANGU NIMEANZA KUWAJUA MA X WAKE
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,029
2,000
Akirudi mpige talaka 3 waganga wengi lazima washiriki tendo ili kumtia alama ya kudumu afae kwa matumizi ya siku zijazo.

"Ishi nao kwa wema lakini usiwaamini."
NILIPOMUOA HAKUWA NA BIKIRA, SITAMUACHA
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
107,045
2,000
Endelea kusugua rungu na hiyo video mtumie na yeye mwambie utamwendea bwagamoyo 😜😜

WANDUGU WAPENDWA MNO JF LA FAMILIA.

Ndugu yenu Bujibuji a.k.a General Galadudu nimetumiwa video clip ya mke wangu usiku huu saa nne kamili akiwa kwenye kilinge cha mganga akinishugulikia. Aliyetuma hiyo video ni shosti wake, ambaye pia mimi nimekuwa nikimtumia kusuuza rungu pindi mke wangu anapokuwa kwenye mgomo wa kugegedwa.

Mke wangu ameondoka tangu asubuhi na ameniaga kuwa anaenda kwa shangazi yake lgogwe kumsabahi. Mke wangu anadai kuwa mimi si mwaminifu licha ya kwamba hajawahi hata kuona sms kwenye simu yangu lakini amekuwa akioteshwa nina mwanamke.

Najaribu kumpigia hapatikani.

Naambatanisha hiyo whatsapp video soon
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom