Hivi kwanini wanawake mpo Hivi??

Hivi kwanini wanawake mpo Hivi??

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,011
Reaction score
1,915
Wakuu za sikukuu..

Tuendelee kupambana na hii Corona..

Hivi kwanini wanawake mnapenda kuweka roho ya kinyongo yaani naandika hivi mpaka najiuliza hiki nini..

Nina ndungu zangu wa damu kabisa wamekuwa wakigombana na kuwekeana vinyongo na roho za husda zikiwajaa...

Sasa kinachonikwaza zaidi kwenye kurupushani zaidi zao wanataka na mimi kunihusisha sasa life yenyewe iliyokuwa gumu nimekuwa mtu nisiyejali huku nikiwa busy na yangu tu maana naona siwaelewi tu..

Sasa nimekuwa nikijiuliza kwann wanawake mnapenda visirani na roho za kwanini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ndugu zako wamesemaje

Mkuu hichi ambacho umeongea ni vitu ambavyo nimevishuhudia kwa macho yangu kabisa ila watu wa dizaini kama hawa wanakuwa wana tabia ya kusikilizwa alafu anataka ufate ambacho anataka yeye pia hawa visilani naona kila familia wapo huwa ndio wanaweka makundi mda mwingine wanafanya familia inavurugika sana maelewano hakuna ndugu baina ya ndugu hivi vitu vipo sana mara nyingi ni wanawake mkuu kama ulivyosema

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom