Wameanza tena...

Wameanza tena...

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,122
Reaction score
4,857
Poleni na uchovu wakuu,

Ijulikane kua nyumba nlopanga haina dari na mie ni bachelor

Basi jana nimewahi zangu kurudi ghetto ili niwai kulala nisisikie mishindo yao (coz automatic huwa inanipa mzuka) kumbe na wao walibadirisha ratiba saa nne wakaanza vurugu zao mi nkaona isiwe kesi nkatoka zangu kwenda ata nikajipooze na light ili nisije nkaishia punyeto bure

Kawaida huwa wanaanza saa tano hivi game ya nusu saa hivi koo saa sita hali ya hewa inakua imetulia, ndio maana mi mara nyingi huwa najirudia ghetto saa sita mpaka saa sita na nusu

Asa saizi nnavoandika hapa watu wako uwanjani afu huyu mwanamke ana sifa sana analia kama paka aani na anajua mi ni bachelor, ila fresh tu

Afu kukishakucha asubuhi ikitokea tumegongana macho, ananikazia macho afu anatabasamu hivi ila poa tu

Hivi nyie wanawake hamuezi kudoo bila ku moan?

Najiona kabisa hapa sina ujanja final ntaishia punyeto tu, najua kuna watao nishauri nivae earphones ili nisisikie miguno ila niwaambie tu nishajaribu hivo mara kibao mwisho wa picha najikuta Mimi mwenyewe automatic bila kushinikizwa na mtu nazitoa, usiniulize kwanini coz ata Mimi mwenyewe sijui huwa nazitoaje

Niwatakie asubuhi njema yenye baraka, wale mtaoenda kanisani mkatuombee jamani
 
Acha kutumia maji ya gundu, iko day utapata wa kwako mwenye miguno zaidi ya hiyo
 
Mtungoze huyo, mdada next time hatarudia kulia kama nyau
 
Ndio kwanza nimetoka kanisani kutubu dhambi, ona sasa tayari nishajikwaa tena kwenye huu uzi...[emoji58][emoji58]
Hahaha kama ulienda kanisani bila kupitia huu uzi utakua hujaniombea Mimi mkosefu
 
😂😂😂😂😂 Duuuhh...... Hizi nyumba za kupanga zina majaribu sana, broo na ww tafta tu dem uwe unaingizia geto ili usijefia nyeto
 
mkuu hayo makelele anafanya kusudi huyo dada ili nawe umtamani sema ni vile hujajiongeza tu, kama isingekua hivo hawezi kukukazia macho mnapokutanisha lazima angeona aibu.
Sikia wewe kinachofuata hapo ipo siku atakuja kukukopa hela ili ukianza kumdai mjenge ukalibu kiufupi ukiona iyo dalili andaa tarimbo son
 
Back
Top Bottom