Una-deal vipi na mtu anayedai kila siku kuwa yeye ni bikra?

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
723
569
Wakuu Salam Kwenu Za Weekend!

Kijana wenu nimefanikiwa kumpata rafiki ambaye mwaka huu sasa kanaleta story ya kuwa yeye ni bikra. Tulikutana Mwaka Jana Kwenye Taasisi Moja Mimi Nikiwa Mwajiriwa Mpya, Wakati Yeye Akiwa Ni Mwanafunzi Aliyemaliza Certificate Na Anafanya Mafunzo Ya Kazi Kwa Vitendo.

Mwanzoni Wakati Tunaazna Urafiki Sikua Na Interest Naye Lakini Yeye Ndiyo Aliyeanza Masuala Ya "nimekumiss", "wew sijui handsome" "natamani nikuone kila mara", "mara kanakuja ofisin kwetu"

Sasa Nilivoanza Kukatamani Ndio Kaniletea Hizi Habari, Ila Mchezo Hakataki Kutoa.

Je, Wewe Ulideal Vipi Na Situation Kama Hii?
 
Why unaomba mchezo?
Weka mazingira Tu mjikute mko wawili katika eneo private..sio kumwambia msichana eti naomba mchezo..

Yeye bikra na wewe bado chipukizi wa kutongoza....
Mwambie nisindikize Kwa dada yangu anaumwa nunua na matunda kabisa..

Mnafika anajikuta uko wewe na yeye Tu..
Dada hayupo..
 
Mimi niliamua tuu kusitisha mahusiano na yule kiumbe japokuwa ni mtu nilimpenda sana na nilitamani tufike mbali.

Sasa mtu unajitahidi awe huyo mpenzi 1 then atoi ku** si bora ufukuze tuu
 
stori yako vile inataka kufanana na yangu baharia usiamini hicho juzi nilikaita ka manzi changu kije kinithibitishie ktk kunanilii aise ilibidi nikatimue saa nane usiku 😆😆😆 *****
 
Back
Top Bottom