zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
Dunia imepitia mabadiliko makubwa ya sayansi na teknolojia.Bila kusahau uanzishwaji wa vipodozi na vifaa vingine vya urembo.
Utafiti unaonesha wanawake wa marekani na mabinti hutumia muda wao mwingi kujiremba ukilinganisha na muda unaoutumika katika kupata elimu .
Kwa Tanzania nadhani licha ya kuwa utafiti haujafanyika imeshakuwa Kama tendency/addiction mtu anapoanza kuzoea kujipodoa kuacha ni ngumu.
Lakini hii imekuja hivi wakati wa zamani kabla ya ugunduzi hakukuwa na kujiremba/kujipodoa bali mwanamke alibaki na ngozi na muonekano wake asili(natural beauty).
Lakini leo hii ngumu kupata mwanamke asiyejiremba/kujipodoa/make-up.Awe ameolewa awe single awe binti mdogo mwendo ni ule ule.
Hutoshangaa endapo utamuona mwanamke kama Alicia Keys siku ya harusi kwa sababu ya make up Ila baada ya harusi make up zikiisha umuone Kama Mwajuma.
Wanawake wa leo wamefanya kujipodoa Kama sehemu yao ya maisha na hutumia muda na gharama nyingi katika hilo.
Je ni kwamba sio warembo,hawana mvuto au wanajiremba kuongeza mvuto.
Kwanini wasibakie na urembo na mvuto wa asili.