DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,416
- 32,528
Salaam wapendwa, niende moja kwa moja kwenye mada.
Kwa kijana yoyote wenye umri ambao tunauita foolish age lazima alishawah tokewa na hali ya kutamani kua na kila mwanamke, na si mwanamke tu hapa nazungumzia pisi kali, yaani shkopa iliyonyooka.
Sasa picha inaanzia hapa, baada ya kusoma kozi ya mwaka mmoja nilifanilikiwa kupata kazi kwenye duka la dawa lililopo pembeni ya mji kidogo. awali nilipanga sitajihusisha na masuala ya wanawake kutokana na sifa ya eneo hilo kua na maambukizi kwa kiasi kikubwa.
hivyo kama nilikua nahitaji ku jigi jigi basi nilikua nikimpigia simu mpenz wangu ambae alikua akija.
siku zilienda na hatimaye nikazoea mazingira ya eneo hilo.
Nakumbuka siku hio kulikua na mechi kwakua nilikua mmoja wa wachezaji katika timu ya kijiji hicho nilicheza mwanzo mwisho kwa kiwango cha juu hadi kupelekea kushangiliwa baada ya mechi kuisha nilirudi geto ambalo halikua mbali na ofisi niliyokua nikifanyia.
Baada ya kuvua viatu sauti nyororo iliniita "dokta nina shida dukani" nami sikua na budi nilienda kumskiza lakini mazingira aliyonionesha ni dhahiri hakua akiumwa maana alianza niuliza maswali ambayo hayakuhusiana na suala lolote la dawa. Mwisho tuliishia kubadilishana mawasiliano.
Usiku kucha ilikua ni mwendo wa kubebisha mpaka pisi ilipokaa mahala pake na mwisho tulipanga siku ambayo angekuja geto, lakini ajabu kila siku ilipokaribia alinipiga kalenda hadi ukakatika mwezi tukizungushana tu.
Mwisho niliamua kuacha lakini nilishangaa siku nikiwa sina hili wala lile alikuja yule binti mida ya saa moja usiku akiwa na rafiki yake, awali nilijua amekuja kwa shida ya dawa lakini haikua ivyo yeye alidai amekuja tu jigijigi, nilimuuliza kuhusu mwenzake alidai hakuna shida.
Shughuli ilikua ndani, baada ya kuingia niliiendea droo iliyokua imehifadhi vipimo (SD BIOLINE) nipate kujiridhisha na afya ya mwenzangu kabla ya tendo.
Sikuamini pisi kali kama ile ingeweza kuwa na umeme. na ni dhahiri shahir ilikua haijaanza dawa na ilikua haijui hali yake ya kiafya.
Niliponea tundu la sindano jamani wandugu