Kwanini wanawake wanachukua muda mrefu kufanya maamuzi ya kumpenda mtu?

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Wanawake wanasemekana kuwa na upendo wa kweli mara nyingi. Ila wao wapo tofauti sana na Wanaume katika kuchagua mtu wa kumpenda.

Wanawake hutumia muda mrefu kufanya maamuzi ya kumpenda mtu. Inakadiriwa kuwa wanawake hutumia siku 134 kufanya maamuzi ya kumpenda mtu. Hii imekaaje au ni kwasababu wanawake labda wana vigezo vingi vya kuzingatia kuliko wanaume.

Wanaume wao ni wepesi wa kumpenda mtu kuliko wanawake. Sababu hapa nashindwa kuielewa ni kwanini?

Ila kuna wengine naona kabisa bongo huwa wanaharakisha mambo anakwambia "nipe wiki tu yule mtoto ntamtia boksi". Nadhani hapa ndo maana wanaume wanakataga tamaa mapema kwasababu mwanamke anachelewa kufanya maamuzi ya kupenda.

Hapo unaskiaga zile kauli za kuwakatisha tamaa wenye papara na love you approach a lady then anakwambia "nipe muda nifikirie"hapo wanaume wanalose hope kabisa wanasepa wanatakaga ile ya tit for tat isizidi hata wiki ushafanya maamuzi.
 
Unachanganya upendo na tamaa, upendo huwezi kusema nipe wiki eti binti flani atanipenda, huko ni kungonoka.
Mwanamke akikupenda kwa dhati pia huwa hachrlewi kuonyesha daliki japo hatapenda ajiweke wazi au akiri wazi kwako kutokana na asili na makuzi.
 
Sasa kati ya tamaa na upendo kipi kinaanza
 
Hata maandiko yamesema mkuu, "wanaume ni watu wa kupenda na wanawake ni watu wa kutii" kwa hiyo kumtoa mwanamke kwenye role yake ya kwanza ya kutii mpaka umpeleke role ya kupenda lazima umpe muda wa kukubaliana na hiyo transformation na ndiyo maana huwa tunatumia muda mwingi kuwashawishi watupende na wao hutumia muda mwingi kutafakari utii wao kwa hilo ombi lako, sio jambo rahisi mkuu.
 
Kumbe
 
Mmh mwanaume kumpenda mwanamke ni sekunde na hata mwanamke kumpenda mwanaume ni sekundu tu !! Mwanamke adi unamtongoza siku ya kwanza tu anakuwa anajua km anakupenda au la unachotakiwa ni kusoma nyakati hisia na kuwa simple and clear na kutengeneza mazingira ukipangalia vitu vzr saa io io anaweza kukujibu NIMEKUBALI na ukaenda geto kumgonga cku io io sasa ukileta ujoti anageuka mpoki utazungushwa utapigwa maswal mpaka ukome ivo usmart wa mwanaume pia unampa mwanamke presha na yy mwenyewe anaanza kujiuliza hv huyu kaka nikimtolea nje ntampata wap km huyu si bora nikae hapahapa

Wanawake ni watu km sisi tu usibishe wanakula.wanakunywa.wanakunya.wana hasira.wanatamaa yaan ni km sisi tu copyright sema wao ni dhaifu mno
 
yaani kuanzia leo nikimpenda mdada ni salamu tu then kifatacho I love You sipotezi muda mambo ni mengi
 
kumbe sasa umeona love is a process
Huna swaga ww kuna maneno matamu unapaswa umwambie baada ya salamu baada ya km sentens kadhaa unamsifia kwamba anaonekana wa tofaut sn ndio maana ukamsimamisha kuna maneno mengine ilo nilalokupa moja kwa huruma mengine itabid ulipie ukimwaga sumu izo hapon labda awe hakupend kabisa
 
kumbe
 
Mara nyingi wanaume wanaongozwa na tamaa sio kupenda, ndio maana mwanaume anaweza kumtokea mwanamke hapo hapo alipokutana nae. Wanawake wanachukua muda wanapokutana na mtu kwasababu wanakwenda mbali zaidi kwa kuweka imagination ya maisha ya mbeleni na Huyo mwanaume ila hii ni kama mwanamke na yeye amevutiwa na Huyo mwanaume. Mwanamke mwenye tamaa unachukua dakika yoyote kwasababu anakuthaminisha kwanza, na mwanamke huyu anakuwa amependa kwasababu ya kitu.
 
Mara nyingi wanaume wanaongozwa na tamaa sio kupenda, ndio maana mwanaume anaweza kumtokea mwanamke hapo hapo alipokutana nae. Wanawake wanachukua muda kwasababu wao wakipenda wanapenda kweli na wanaongozwa na hisia zaidi kwenye maamuzi.
Good Explaination
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom