Jamani Kanisani sio sehemu ya kutafuta mume au mkee

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,378
Makanisa na wenye uhitaji wa ndoa wote wamevurugwa, nimeenda kusali kanisa flani hivi mchungaji kasema wanawake ambao hawajaolewa wasimame

Dah! Dah! Niliogopa wengine walijisahau wakakimbilia mazabauni ilipo kuja hatua ya kusema wanaume ambao hawaja owa wasimame walisimama vijana wadogo ambao naona. Ndani ya miaka miwili iliopita ndio wamepata kipaimara

Wanawake wengi wanatafuta wanaume wakuwaowa makanisani, kwa nguvu na kivuli cha ibadaa
 
Observation yako ni sahihi kabisa na inaungwa mkono na observations nyingine hizi hapa:
  1. Wanaume wengi pia hawaendi kwenye mahubiri, matamasha ya injili na masemina ya Mwakasege. Wengi huko ni wanawake.
  2. Wanaume wengi hawahudhurii zile sala za jumuiya, waluteri na wakatoliki wanazijua hizi za kila wiki majumbani hasahasa jumamosi
Kwahiyo ni kweli kwamba mwanamke ambaye hajaolewa asitarajie atawakuta wanaume single kanisani, wanaume wengi wanaenda huko makanisani kwa influence za wake zao ambao wanafuatana nao.
Mchumba hupatikana wakati wa ujana ambako kuna fursa nyingi za vijana kufanya socialization katika makundi yao, katika sehemu za kazi, michezo, vyuoni na kwingineko kwenye interaction. Kanisani hakuna interaction, ni mahali pa kwenda kumsikiliza mtu mmoja na huwezi hata kumhoji kama anaongea makwazo!
 
aise una kaakili sanaa
 
Fact.
 
Kweli kabisa
 
Kwa hiyo wanafanyaje ili kupata waume ?
 
Shidaaa ipooo na mpaka kufikia 2025 ndio tutakuwa ADIMU kama mmea mbichi kustawi jangwani.

Maana haiwezekani sasa Mahali utoe tu Mil 4 , hapo hapo umnunulie na kagauni cha harusi, kasunduku ka shangazi yake, panga sijui jembe la babu yak, kanzu ya mjomba wake , mbuzi wa bibi yake ......

Mnatufanya Migodi eh ? ?
 
Makanisa na wenye uhitaji wa ndoa wote wamevurugwa, nimeenda kusali kanisa flani hivi mchungaji kasema wanawake ambao hawajaolewa wasimame

Dah! Dah! Niliogopa wengine walijisahau wakakimbilia mazabauni ilipo kuja hatua ya kusema wanaume ambao hawaja owa wasimame walisimama vijana wadogo ambao naona. Ndani ya miaka miwili iliopita ndio wamepata kipaimara

Wanawake wengi wanatafuta wanaume wakuwaowa makanisani, kwa nguvu na kivuli cha ibadaa
Sijaona hata cha kujifunza kwenye post yako
Sana sana nimejifunza kuwa, wanawake ni wawazi zaidi kwani walivyo ambiwa wasimame waliweza kusimama bila hofu tofauti na wewe...
Kwa mtazamo wangu Mke mwema hupatika popote ila BADO naamini zaidi kuwa ,makanisani na misikitini ndio mahala sahihi zaidi pa kupata mke. Ungesema mtu asitafute mke kilabuni au kwenye mabaa hapo ningekuelewa!!!!
Watu wote wana madhaifu ila pale unapokuta wameanza kumrudia Mungu ni jambo la kushukuru na wanastahili kupewa nafasi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom