Mwanaume unamchukuliaje mwanamke wa aina hii

Mwanaume unamchukuliaje mwanamke wa aina hii

Nasiche

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2019
Posts
291
Reaction score
735
Mwanaume unamchukuliane mwanamke huyuuu??

Mwanamke msomi, mwenye kazi nzuri

Mwenye assets labda nyumba kiwanja

Labda biashara 1 au 2

Kwa kifupi mwanamke ambaye amefanikiwa kiuchumi

Anayepambana kutafuta pesa asiyetegemea Sanaa hela za kupewa pewa, ikitokea kapewa basi ni zawadi ila anayamudu maisha

Kama ana heshima, ametulia unaweza kumuowaaa???
Vipi kama atakuwa kakuzidi kipato?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu lini tembo akaweza kudate na twiga atapigwa teke siku moja
Hapo Kama umefanya maamuzi jiandae kwa lolote lile lakini maisha lazima yaendelee
Protect against Corona viruses from the crowd
 
Mwanaume unamchukuliane mwanamke huyuuu??

Mwanamke msomi, mwenye kazi nzuri

Mwenye assets labda nyumba kiwanja

Labda biashara 1 au 2

Kwa kifupi mwanamke ambaye amefanikiwa kiuchumi

Anayepambana kutafuta pesa asiyetegemea Sanaa hela za kupewa pewa, ikitokea kapewa basi ni zawadi ila anayamudu maisha

Kama ana heshima, ametulia unaweza kumuowaaa???
Vipi kama atakuwa kakuzidi kipato?

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha msingi kabisa hapo Ni huyo Mwanamke kukupatia heshima Kama Mume/ Mpenzi. Acha uoga wa maisha kijana. Inaelekea hujiamini hata punje.....
 
Ndani wanakuwa wagumu katika nini mkuu ?

Kwa mazingira ya kiafrica Wanaume wa Kiafrica wamezoea na kukulia mazingira yakua wao ndio wanaodominate kwenye ndoa. au kwa lugha nyengine ndio hua mabwana. Sasa wanawake wasomi au walio na mafanikio ya kibiashara wanakua wagumu kukaa kwenye hiyo line ya kuwa dominated, ndio hawa wanaotaka 50/50. Na sio 50 tu wata demand ziada. .
Sasa hapo ndipo matatizo yanapoanza na ndio ugumu wenyewe huo mzee.
 
Naelekea huko

cha muhimu ni kujikubalisha matokeo, na kujiandaa kisaikolojia. kwamba unaelekea kwenye mazingira ya 50 50 nasio kuwa bwana.
ILa nafsi ikishindwa kujikubalisha hayo mazingira japo kua yatakupunguzia furaha, inaweza kuathiri kisaikolojia mkuu.
 
Back
Top Bottom