Mama mkwe, acha mwanao aolewe usimchagulie mume

Mama mkwe, acha mwanao aolewe usimchagulie mume

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,412
Jamani wana JF mahusiano sasaivi yamekuwa kama mpira wa miguu yana usajili na refa ree. Refa ni mama mkwee mana anaweza sema ni penalt au faulu ila wanaharibu sana watoto wao wa kike

Kwanza akisha jua huna pesa au unamaisha ya kawaida anamwambia mwanae tulia muda bado 🤣🤣🤣 Akiona unapesa atasema mwanangu changamkaaaa asiibiwe. Ukiona umetambulishwa ukweni na ukakubalika jua mwanamkee alishaanza mjaza mama yake ujinga
ili akukubali, yaani wazazi wa upande wa kike wanapoteza watoto wao kwa ujinga tu pasipo kujua maisha ni safari na kuna leo na
kesho

Ukienda ukweni na gari yako utachinjiwa kuku. Sasa we nenda kwa mugu uone utapikiwa chai, yanii wanawake after money mama mkwee after money. Ndio sababu mi simwambia mwanamkee maisha yetu yakoje au tupoje hata mambo yangu huwa namficha hata nimpende vipi ili badae akija jua ashangae
Maana haiwezekani sasa Mahali utoe tu Mil 4 , hapo hapo umnunulie na kagauni cha harusi, kasunduku ka shangazi yake, panga sijui jembe la babu yak, kanzu ya mjomba wake , mbuzi wa bibi yake ......

MAMA MKWEE SHIKAMOOOO
 
kuna mji nliwahi kwenda sina kitu chochote kile tofauti na nguo zangu nazovaa kitaa ,sina kazi, maisha yangu ya kuunga unga afya dhoofu sana, kufika tu kwenye ule mji kila mtu akanikarimu sana ,baba mkwe na mama mkwe wakajikuta wananiamini sana mi maskini mpaka binti wakanpa now nina mtoto na npo kwangu nmejenga.... na kesho kuna biashara kubwa ntafungua mtaji upo mkononi...tayari nmeandika kwa uchungu sana.
 
Naomba kazi kwenye biashara mkuu yako mkuu
 
Eti kwa miguu unapewa Chai,si unaenda na hata la kuazima kwa rafiki...
 
Back
Top Bottom