Napendwa na mke wa mtu mama tu ana life yake nzuri tu na mimi pia nina maisha yangu ya kunifanya niishi hapa jijini. Napata usumbufu mkubwa sana wa huyu mwanamke kiasi kwamba nafikiria kumwambia...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Kuna tetesi nilikuwa ninazisikia tangu zamani eti...
Habari waungwana, nipo kwenye dilemma ndugu zangu, naombeni ushauri wenu please.
Mwaka jana mwishoni nilianzisha mahusiano na binti fulani, tukatokea kupendana sana kiasi kwamba binti akawa...
Natumai hamjambo wapendwa,
Upendo wa ndoa/mahusiano strong huhitaji katiba itakayoufanya uwe active na wenye msisimko kwa wahusika, katiba hiyo itakua na mapendekezo mlokubaliana kufanyiana ajili...
Nauliza kwa kutaka kujua
Wakati wanafunga ndoa wakirisitu huwa wanasema hayo maneno ya kuwa mwili mmoja. Hii ina maana gani?
Nimejaribu kumuuliza ndugu yangu mmoja mlokole kasema anaona aibu...
KWANINI MAHUSIANO / NDOA NYINGI HAZIDUMU?
Unapoingia katika ndoa au mahusiano huwezi kufikiria hata kidogo kwamba asilimia kubwa ya ndoa au mahusiano hayo kufeli.Ndoa au mahusiano yanaweza kufeli...
Mimi ni mwanaume.Kuna tatizo limenitokea kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Nakula na kulala vizuri wala sina mawazo yoyoe ila nimepoteza ghafla hamu yakufanya tendo la ndoa na mpenzi wangu...
Wana Jf yani nimekoswa koswa vibaya mno, nipeni pole na si rudii tena, nina nia njema ya kuoa lakini sasa nakutana na kina dada ambao sio wazuri, kwanza masharti ya kuoa ni kwamba lazima niende...
Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama...
Nina 50,000 tu ghafla nimepokea taarifa tatu zote zinataka pesa, nitoe kwa nani na nimuache nani?
1. Mama mzazi anahitaji pesa aweze kuhudhuria msiba wa mke wa kaka yake
2. Mtoto wangu anatakiwa...
12:00 Nakuja
13:00 Ndio naoga
15:50 Navaa nguo
17:40 Ndio natoka
18:30 Nipo kwenye bajaji
19:20 Babe sitakuja mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja
Halafu ikifika miaka 38 hujaolewa unaanza...
Hi
As thread said maisha ambayo fake life is so expensive kama kuna mtu anayaishi aachane nayo. Mpaka nimekuja kusema hiki kitu it means nina experience kwamba nishamuona mtu ana struggle kuishi...
Najua siwezi kupata ushauri wa maana hapa isipokuwa naandika tu kupunguza
Uchungu na hasira.
Mwanzo nilihisi ni nywele za kitoto lakini binti huyu anavyozidi kukua ananipa
tafakari mpya kabisa...
Vijana wengi siku hizi tumekuwa na makasiriko mengi kuhusu mahusiano. Mara nyingi kesi ikiwa ni usaliti. Sasa unapaswa kuelewa haya nitaanza na wanawake kisha nitafatia wanaume.
elewa kwamba.
1...
Leo hapa tumelivuruga! Kuna mdada tulimhisi kuwa anatoka na bosi (bosi ni 50s while binti ni 20s). Sasa huyu dada full kuchelewa na kazi anafanya akijisikia. Leo tumeamua kumwambia anatukwaza! Wee...
Habari zenu wakuu,
Ni matumaini yangu mpo fresh kabisa, mnaendelea na majukumu ya Ujenzi wa Taifa letu Tanzania na Taifa la Mungu, kwa wale wenye imani hiyo.
Kuna tabia ya wanandoa na wasio...
Nina ongelea nafsi ya kike kwakua mimi ni wa kike. Kuna wanaume wanapenda wanawake weupe, weusi, warefu, wasomi, wanaojua ku challenge, wanaojua biashara, wenye msambwanda. Sasa itokee...
Leo mida ya jioni naenda kukutana na ex wangu ambae penzi letu lilikufa kimya kimya kitambo chanzo cha penzi letu kufa kimya kimya ni mimi baada ya kuona mwenzangu Kabadilika kitabia haeleweki...
Yeah Wana MMU.
Ila mi nadhani haya mambo yako kwa wenzetu sana. Mi najua mapenzi yetu si ni ya kikomando. Ila Leo huko dunia nyingine eti..Ni siku ya wapenzi wa kiume..
Kama mnavyosikiaga Happy...