Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

guest-1793747943
You are a best loser kuna jambo kidogo ningependa kuwashirikisha wana kidogo, binafsi nimekuwa nikipata faraja kuona wana wakifanikiwa katika mambo yao , lakini leo nataka kuwaambia wana kwamba...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Nina marafiki zangu watatu nao ni watumishi wameajiriwa katika idara fulani ya umma katika mojawapo ya halmashauri za mkoa wa Mara.Ndani ya mwezi mmoja kuanzia machi mpaka sasa wote wamefanikiwa...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Niliajiriwa katika wilaya moja huko mikoani miaka ya karibuni tu. Baada ya kureport na kuanza kazi nikakutana na binti ambaye naye ameanza kazi kama mimi kanisani siku ya kwanza ya ibada...
4 Reactions
190 Replies
25K Views
Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa. Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu...
86 Reactions
670 Replies
67K Views
Wakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli. Mimi nipo safarini kwa sasa...
22 Reactions
136 Replies
10K Views
Hello MMU gurus, Kwa kweli ni jambo la kushangaza sana kuona karibu miezi minne sasa sina hata ile feeling ya kupata sex. Nimetishwa na hii hali. Masterbation sifanyi, porn siangalii wala sinaga...
3 Reactions
73 Replies
8K Views
Habari za asubuhi Week iliyopita nilisafiri nje ya Mkoa wa DSM, nikamucha mchumba wangu, (Mke mtarajiwa) huko. Weekend akaniomba kwamba anaenda kutembea hivyo ana hamu ya kutoka out, nikasema...
6 Reactions
106 Replies
13K Views
Habari za mihangaiko wana jamvi niende kwenye mada. Nilipata mchumba ambae kabila lake ni mndengereko mwenyeji wa mkoa wa pwani nilikua nimesha mtorea barua na umesha jibiwa. Kulingana na mila na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Binadamu hawana shukrani. Miaka 6 iliyopita nlikutana na binti fulani wa kisukuma baada ku-wrong number kwangu nikamsaka tukaonana mitaa yao ndio nilikuwa na site yangu. Baada ya hapo tukaingia...
15 Reactions
56 Replies
9K Views
Habari za humu , natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wana JF. Kama kichwa cha habari hapo juu , Naombeni msaada , jana nilipata ajali kazini nikiwa na mtoto mzuri kitandani getoni kwangu...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Sio kila unachokiona ndivyo kilivyo. Wakati mwingine X anaweza kutaka kukuumiza tu. Relax na ufanye mambo yako. Unaweza kujikuta unafanya jambo miaka mingi ijayo utabaki unacheka tu. Embu share...
57 Reactions
111 Replies
11K Views
KIla mtu mwenye hekima anakubali kuwa huyu ni mwanaume asiyefaa hata kidogo kuwa kichwa cha familia kwa jinsi anavyofanya mambo ya kitoto na kuwa na gubu kubwa kwa mkewe. Kisa chenyewe kilianza...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Habarini wakuu, leo nimeomba mechi na pisi ili nipande mbegu wakati neema ya mvua ikiendelea tukakubaliana jioni nimpitie nikitoka job. Sasa balaa kuna demu mwingine anatuleaga msosi leo kaniambia...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimejaribu ku act tatizo flani ili nione itakuwaje, aisee ni hatari tupu sio tu nme act but ni kweli limenitokea ila sio kwa hatua nilio ia act, mpaka mpenzi wangu hapokei simu. Ila wadada kama...
3 Reactions
7 Replies
884 Views
Wakuu mm nimmoja wa watu navutiwa na nchi ya Rwanda, naomba kujua gharama na taratibu ya kwenda kutalii kama week moja, je pisi za huko zilivyo kalii zinapatikana kirahisi? Na pia viwanja vya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Haya maisha kwa kweli ni matam sana. Sana. Nimekua na mahusiano na mke wa mtu kwa miaka 3, kwa kipindi hicho chote alikua akiniomba nimpe mimba, anatamani anizalie, anapenda nimuachie damu yangu...
22 Reactions
94 Replies
13K Views
Habari za usiku waungwana mliopo macho. Najua kuwa wapo wanaopenda hadithi lakini wapo wengi walio wavivu. Ukiingia katika u-tube chanell yangu Black chicken utaona zipo hadithi za kusisimua za...
1 Reactions
2 Replies
7K Views
In any case chanzo cha ndoa yoyote kuvunjika chanzo ni mwanaume. 1. Mfano ukisema ume divorce sababu mama kachepuka lazima kosa ni lako kwa maana ya kwamba hukufanya Uchunguzi wa kutosha kwenye...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna siku niliulizwa swali hili..na mpenz... Kuwa kwann sikusikii ukipizi (ejaculate) mbona ukifika kileleni hutoi sauti yoyote? Alinambia wanaume wengine hutoa mguno... Na mpenz wangu alikua ni...
8 Reactions
87 Replies
13K Views
Habari wana jamvi wenzangu, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Wengi wenu natumai mu wazima wa afya. Narudi tena kwa mara nyingine baada ya kutokufanikiwa mara ya kwanza Naomba niende kwenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…