Kwa uzoefu kwenye hili, unaweza wasaidia wengi

Nov 2, 2020
68
90
Wakuu kwema,

Kuna mambo unaweza ukafanya kwa uharaka au kwa pupa kisha ukaja kugundua kuwa hukupaswa kulifanya aidha kwa wakati huo au kwa mtu huyo.

Kumekuwa na malalamiko hususani kwa vijana wanaojiingiza kwenye dimbwi la mapenzi ,Baadae wanagundua kuwa waliomchagua si stahiki ,Hii ni baada ya kuishia kupata maumivu yasiyomithirika.

Share nasi jambo ambalo ulipitia kwa mkumbo ukalifanya kwenye mapenzi ,ambalo usingalipenda wengine wakumbane nalo.

Youth Worker

Hardness,Teaches
 
Ingawa bado inanishinda na nahisi siwezi ila kwa ajili ya afya ya moyo wako usiwe na mpenzi mmoja kwa wale wanaoweza. Maana siku ukifanyiwa vituko spare itasaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom