Betason
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 389
- 712
salaam wana MMU..
Ni mara ya tatu sasa nasikia hii kauli kutoka kwa mpenzi wangu, nimeitafakari sana na kujua kumbe kweli kuzaliwa mwanaume ni jambo la kujivunia..
Hata ktk maisha yetu ya kawaida huwa mara nyingi tunasikia wanawake wakisema "ningekua mwanaume...." ila huwezi kusikia mwanaume akisema "ningekua mwanamke" hii inaonesha ni jinsi gani kuzaliwa mwanaume ni fahari
Alisema nanukuu "ningekua mwanaume ningeringa sana, kwanza mpo wachache sana kuliko sisi, yan me nikiona mwanaume analia lia kisa mwanamke kamzingua nashangaa sanaa"
Wanaume tujifunze kuringa na sisi inapobidi, ila kwa step..[emoji56]
nawasilisha!