Wanaume tunapitia changamoto nyingi sana, hii Dunia iko very harsh and unfriendly kwa mwanaume and this is how it was created to be. Alternative na mwanaume kuishi, kula, kunywa, kupata raha...
Tuwe waaminifu, tuheshimu ndoa zetu na hofu ya Mungu ni muhimu. Vitabu vya dini zote vimekemea uzinzi.
Ila ukweli ni kwamba kila mwanamke ana ladha yake tofauti.Kusema kwamba utamaliza bucha zote...
Mapenzi kwangu ni uchoyo!
Ndio ni uchoyo kwa maana ni nafasi ya kuwanyima wengine na kumpa yule special wako ambae ndio kiberenge wa moyo wako!.
Mapenzi kwangu ni utimilifu, utimilifu wa...
Nikijiswali cha uzushi, nimekumbuka baada jana kuona mmoja wa X wangu akipost kumbukizi ya miaka saba ya ndoa yake, nakumbuka siku ya Send off yake nilikuwepo, na ilitokea vulumai moja baada mimi...
Wakuu habari za asubuhi?
Amaan naombeni ushauri,wiki iliyopita nilifanya kosa nikaachwa na mpenzi wangu,nimemuomba msahama amegoma katakata kwamba hatuwezi kuendelea kuwa wapenzi tena, juzi...
Haikua mbaya, nimetoka kitaa kutafuna soda mweleka. Na sio kwa ubaya, nilimpigia sim ili nimpe maelekezo kwamba aniandakie meatballs mixer black vinegar, mixer garlic, mixer ginger and cold salt...
Sijasomea Saikolojia ila naamini hizi ni dalili za "psychological disoder" Tangu nilipokuwa mdogo nilitamani sana siku moja nipate mwanamke atakayenielewa na mimi kumuelewa tuanzishe familia ila...
Miaka hiyo ya nyuma nlifanikiwa safiri na demu mmoja mkali kwenye siti moja.bahati kama hizi ni nadra sana kutokea. Sometime unajikuta mmekaa kwenye siti wote sura zenu za stress. Yaani hapo ndo...
Naonaga kama usinichi flani we kila picha nayopost unalike tena wakati mwingine mpaka picha za miaka ya nyuma
Huku ni kuchunguzana kwa kiboya
Au wale wanapenda kushare picha zangu nazopost huo nao...
Dah kuna mademu wengine wanangu sana yani dah hawanipingi kivyovyote watawapinga mabasha zao ila kwangu hawapindui.
Yani nachokubali wapo real naweza nikawa na shida hata ya kifedha...
Wanabodi la malavidavi Nina tatizo ninapolala usiku huwa najikuta wazungu wametoka na kufuli kulowana,naombeni ushauri na dawa ya hi,Nina mda mrefu nasumbuliwa naombeni ushauri
Mara ya kwanza namtoa out yeye aliagiza bia mimi nikaagiza soda ya coca. Akanicheka sana akaniuliza kama situmii pombe. Baada ya kumjibu kama situmii akanihukumu, kwamba kilevi changu itakuwa...
1. Jambo la kwanza mawasiliano kama ni wewe tuu ndio unampigia simu mara nyingi kuliko yeye kukupigia inapita week au mwezi na vocha unamtumia tambua kuna tatizo
2. Jambo la pili ni ukiona...
Miaka minne iliyopita, kipindi nimepata kazi jijini Dar es Dalaam
Nilianza kupanga nyumba maeneo ya hapa Dar, japo nilikuwa sikai nyumba moja zaidi ya miezi 6, nilikuwa nachoka tu na kuamua...
1: mpenzi wako hasa mwanaume unaedeti nae awe anacheat kwa kutoka na demu mwingine ambae sio malaya wakujiuza au
2: awe ni muumini wa zile malaya kabisa wale wanaosimama rodini au kwenye mabaa...
Sehemu zozote ambazo idadi ya wanawake ni ndogo kuliko lazima pawe panaboa tu
Ata baa ambayo haina mademu wateja huwaga ni wachache.
Wanawake wananipa furaha sana.
Habarini wana Jamii Forums leo nimeona nishare na nyinyi hii mda maana wanawake ni viumbe ambao hawaeleweki kabisa.
Kuna siku niko kwenye basi maeneo ya majohe hapa SSM sasa nikakutana na dada...
Habari za humu wanaJF?
Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu.
Kuna jamaa (tunafanya nae kazi) pia ni rafiki yangu tunaishi nae ghetto moja.
Juzi katika kufanya usafi...