Najua ni ngumu wanaume wenzangu kunielewa lakini nasema mwanaume mwenzangu hata kama huna kitu kamwe usikubali kunyanyaswa na mwanamke wako kisa amekuzidi kipato.
Unashanga unakutana na mwanaume...
Hivi ushawahi kujiuliza kwanini ulivyoachwa uliumia? "Nilimpenda sana yule kaka" Najua jibu litakuwa ilo au kufanana na ilo. Ila ukweli ni kwamba unajipenda wewe ndio maana unaumia kwa kukosa...
MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGWA ILI UPUMBAVU UTOKE
Na, Robert Heriel
Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, wake zetu, shangaza na bibi zetu. Ni viumbe muhimu kwetu na dunia kwa ujumla.
Wapo wanawake wa...
Mambo zenu wakuu?
Natoa nasaha kwa wanawake,kama uko kwenye mahusiano na mwanaume asiyekunywa pombe muogope sana.mostly huwa ni malaya zaid ya Sisi tunaopiga maji.
Mtanishukuru baadae.
Jamani,naombeni sifa za wanyaturu.Nimekuwa na rafiki yangu wa kinyaturu imefikia hatua ya kuniambia nimuoe,sasa nataka nijue sifa za wanyaturu abla sijamkubalia.Nisaidieni wadau
Kwanza kabisa tuelewe majukumu ya hawa watu katika sekta zao. Heshima ya Mama haipungui kijana unapooa.
Tunajua umuhimu wa Mama toka amekubeba miezi 9 umezaliwa umekuwa na umejitambua hilo ni...
Yapata siku 5 hivi tangu nikutane naye huyu mdada. Nilimtongoza indirect akaingia mazima direct. Nikamuuliza shughuli yake akaniambia ni barmaid. Nikamwambia kwakuwa umri wako bado mdogo sitaki...
Alot has been said multiple times ila imekuwa ni malumbano yasio na mwisho tu. Nimewaletea clip hii japo iwe funzo na muweze kuelewa kuwa nini hasa tunahitaji katika ndoa ili kujenga familia yenye...
Huu uzi ni kwa ajili ya watu walio siriazi tu.
Tunajua mapenzi ni kitu muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu, bila mapenzi Dunia ingekuwa ni sehemu ngumu pa kuishi. Kuna waliofiwa na wake/waume, au...
Wasalaam,
Mungu ametuumba tu katika hali ya kutegemeana, moyo wangu unaniuma sana ninapoona watu wanapishana to the extent wanapigana .
Kwa wanaume mnaopigwa mtanisamehe, sikuhukumu mwanaume...
Wakuu habari za mida tena, hamjambo natumaini na kama mko poa nijambo la kheri.
Maada.
Nimeamua niweke kisa changu kuhusu punyeto ilivyo nikosesha papuchi mwaka 2012. Kipindi hicho nilitokea...
Leo nilipokuwa natoka kazini kuna rafiki yangu aliniita nipite kwake kuna jambo tukalizungumze. Wenyeji wa temeke pale sudani.
Rafiki yangu ni fundi wa magari anauza vifaa used za magari na pia...
Habari wana JF,
Napeda kufahamu kwa wadada hata kwa wanaume wenzangu, Mwanaume aliye na ndevu na asiye na ndevu yupi anawapa hamasa zaidi...unaweza kwenda extra mile na kueleza matumizi yake hasa...
Nina mpenzi wangu huyo nampenda sana ila sielewi nifanyeje muda wote yee yupo bizee hata muda wa kunitafuta kunipigia anaukosa imefika hatua hata ule muda wa kunitafuta anaukosa.
Nifanyeje jamani...
Habarini wana jf, natumaini mu wazima, niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina Dada yangu wa hiari anapitia mazito saana ,mwenyewe ana dai hii ni zaidi ya mikosi. yeye ni mfanyabiashara tu mdogo...
Betty alimaliza Kidato cha Sita na kupata kazi ajira ya moja kwa moja mjini. Alijitahidi kuwa na mradi wake wa duka la vyakula na mahitaji ya nyumbani alimuweka kijana amsaidie. Katika harakati...
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu swala hili... kila mtu ana historia yake katika mapenzi.
Historia ninayoiongelea hapa ni ile ya mpenzi wako alishawahi kuwa na wapenzi wangapi kabla...
Vijana wetu wa kiume hamjambo, nawasalim ni mim tena mwandiko bila nukta Wala vituo.
Kuna wakaka mi nawaita watoto, bila kujali umri wao yaan n wavulana. unakuta mvulana ana More than 34 years...
Habari za jioni wana JF
Jamani Mimi nampenda mwanamke mfupi kuanzia futi 4.5 ,mpaka 5.5 yaani nikimuona mwanamke mwenye kimo hicho huwa nafrahi saana
Inasemekana wanawake wengi wafupi wana...
1. Kuchat mapenzi na demu wake kwenye public platforms, na kuitana romantic words na kuchumiana...
2. Kukiss na demu wake yaani amelegea kabisa mbele za watu au anapiga picha anapost picha kabisa...