Mwanaume hata kama huna kitu usikubali kunyanyaswa na mwanamke wako kisa ana kipato

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,181
3,547
Najua ni ngumu wanaume wenzangu kunielewa lakini nasema mwanaume mwenzangu hata kama huna kitu kamwe usikubali kunyanyaswa na mwanamke wako kisa amekuzidi kipato.

Unashanga unakutana na mwanaume analalamika mpenzi wangu ananidharau,mara hana time na mimi,mara muda Wote yupo bizee, mara nanywimwa tendo la ndoa lakini unakuta mtu anakubali kuvumilia eti kisa mwanamke ana uwezo kasoma sana kuliko yeye anakubali kuishi maisha ya utumwa .

Ukimwambia mtu aachane nae anakuwa ana kigugumizi mi achaa niseme kitu mwanaume kama utashidwa kusimama Imara itafika stage mwanamke wako analeta mwanaume ndani ya nyumba na huongei chochote hivyo usikubali ukiona vipi vunja mahusiano tuu
 
Mwanamke ambaye nikiwa nae anaanza kujionyesha kuwa yeye ni keki na ananijengea mazingira ya kwamba huko nje anasoko kubwa sana huwa namchukulia kuwa hana akili sawa sawa na hayupo serious na maisha.

The best option kufanya huwa nampa ukweli wake kuwa kama ana hisi maisha kwake ni mchezo basi mlango upo wazi akafanye analojisikia kama anataka kufanya maisha serious basi aache upuuzi anafanya.
 
Simple Straight Loud & Clear.
 
Hizi ndo nyuzi tunazozitaka siyo eti oooh.....hanisikilizi....
Kwa hii nyuzi tuko pamoja........

Ngoja nile kiapo hapa Mbezi beach ntarudi
 
Mwanamke ambaye nikiwa nae anaanza kujionyesha kuwa yeye ni keki na ananijengea mazingira ya kwamba huko nje anasoko kubwa sana huwa namchukulia kuwa hana akili sawa sawa na hayupo serious na maisha.

The best option kufanya huwa nampa ukweli wake kuwa kama ana hisi maisha kwake ni mchezo basi mlango upo wazi akafanye analojisikia kama anataka kufanya maisha serious basi aache upuuzi anafanya.

Broo uko vizuliii
 
wanatawaliwa wenye vipato sembuse na kapuku? mkuu haya mambo hayana fomula
Sikuzote minasema kwamba, mwanaume anapaswa kukaa kwenye nafasi yake kama mume, na asimmaie wajibu wake pia pasipo kujalisha kwamba amezidiwa kipato na mkewe.
Mimi nasema hivi......
Lazim mke afuate taratibu na sheria pamoja na atimize wajibu wa mke, na lazima awe mtii kwangu kama mumewake. Na hii haijalishi kama amenizidi darasa ama mtonyo..
 
Mwanamke ambaye nikiwa nae anaanza kujionyesha kuwa yeye ni keki na ananijengea mazingira ya kwamba huko nje anasoko kubwa sana huwa namchukulia kuwa hana akili sawa sawa na hayupo serious na maisha.

The best option kufanya huwa nampa ukweli wake kuwa kama ana hisi maisha kwake ni mchezo basi mlango upo wazi akafanye analojisikia kama anataka kufanya maisha serious basi aache upuuzi anafanya.
Kama nyumba ni yake? na wewe huna pakwenda wala ishu yoyote, unafanyaje mkuu?
 
Sikuzote minasema kwamba, mwanaume anapaswa kukaa kwenye nafasi yake kama mume, na asimmaie wajibu wake pia pasipo kujalisha kwamba amezidiwa kipato na mkewe.
Mimi nasema hivi......
Lazim mke afuate taratibu na sheria pamoja na atimize wajibu wa mke, na lazima awe mtii kwangu kama mumewake. Na hii haijalishi kama amenizidi darasa ama mtonyo..
upo sahihi mkuu bt unaweza kaa katika nafasi yako na ukatimiza wajibu wako bt watu wakatafsiri unatawaliwa kwa sababu unaishi kwa maelewano na mkeo na kufanya mambo yote kwa mashauriano, pia kuna wengine huonekana wanatawaliwa coz wanashindwa kusimamia majukumu yao na kumtegemea mke kisa kakuzidi kipato/elimu hivo hawa ni halali kutawaliwa, pia kuna wengine wanatawaliwa coz hawawamudu wake zao kingono hivo anakubali kutawaliwa ili maisha yaendelee, kwa hiyo mkuu jambo hili linaupana wake katika kulijadili
 
Back
Top Bottom