Ushauri: Mahusiano na mpenzi aliye ‘busy’ muda wote

Ushauri: Mahusiano na mpenzi aliye ‘busy’ muda wote

toto zuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
265
Reaction score
283
Nina mpenzi wangu huyo nampenda sana ila sielewi nifanyeje muda wote yee yupo bizee hata muda wa kunitafuta kunipigia anaukosa imefika hatua hata ule muda wa kunitafuta anaukosa.

Nifanyeje jamani hiii hali inaniumiza kweliii hii Hali inaniumiza.
 
Vipaumbele vyako na vyake vinapokuwa tofauti inamaanisha malengo yako na yake pia ni tofauti..

Waweza kuwa unalenga ndoa karibuni,mwenzio analenga kufika hatua flani kiuchumi kwanza..

Kama ndivyo ilivyo kwako na yeye basi hakuna atakayembadilisha mwenzie ZAIDI YA WEWE KUWA MVUMILIVU kama kweli u"nampenda sana"
 
Nina mpenzi wangu huyo nampenda sana ila sielewi nifanyeje muda wote yee yupo bizee hata muda wa kunitafuta kunipigia anaukosa imefika hatua hata ule muda wa kunitafuta anaukosa

Nifanyeje jmn hiii hali inaniumiza kweliii hii Hali inaniumiza
Muache, unasubiri nini?
 
Katika mapenzi, kwa kawaida kuna mmoja anayependa zaidi kuliko mwingine. Jichunguze wewe ni yupi kati ya hao wawili. Tena jichunguze mapema kabla hujaumia zaidi na zaidi na kuja hapa kuomba ushauri ukilia lia na kusaga meno [emoji2221][emoji2221][emoji91]
 
Wazungu wana msemo wao wanasema

"No matter how busy a man is, if he is really into you he will always make the time for you"

*Pamoja na kwamba yupo bize mbona anapata muda wa kwenda bafuni kuoga au kwenda toilet kujisaidia"
Why akose muda wa kukucheki hata kidogo?

Nikuambie tu ukweli kwa uhalisia hapo hupendwi na kama una malengo nae jua kua umeliwa mwenzako kakuweka back up plan yake au niseme kakuweka 2nd choice yake.

Not getting a message is also a message, amka wewe vitu vingine havihitaji hata kujiuliza mara mbili mbili unakua ushapata majibu
 
Vipaumbele vyako na vyake vinapokuwa tofauti inamaanisha malengo yako na yake pia ni tofauti..

Waweza kuwa unalenga ndoa karibuni,mwenzio analenga kufika hatua flani kiuchumi kwanza..

Kama ndivyo ilivyo kwako na yeye basi hakuna atakayembadilisha mwenzie ZAIDI YA WEWE KUWA MVUMILIVU kama kweli u"nampenda sana"
Sorry, kama ni Mwanamke kwa miaka hii akipata Mwanaume anayehitaji kumuoa seriously, halafu yeye yuko busy kiasi hicho alichoelezea Mleta mada ungeshaurije?
 
No love hapo...huhitaji kujiuliza sana

Hata mim nna dem wangu m1..huwa analalamika hvo hvo kwangu...na ni kwel mara nying namsahau kabisa ..yaan unajikuta umemsahau mtu hadi unajishtukia sasa unaamua kumchek tu au akikuchek..excuse ambayo huwa iko karib ni kumwambia am sorry nilikua busy sana leo..siunajua kaz zetu hiz

Sasa kiukwel ni kwamba simfeel kabisa...shez just my f.uckmate tu..na sina hata malengo naye kabisaa
 
MWANAMKE MBELE YA MWANAUME MWENYE PESA YUPO TAYARI KUVUMILIA MANYANYASO YAKE...atakudanganya tu kuwa ANAMPENDA SANA...ila kumweka hapo ni pesa zake...

Ingekuwa hana pesa HATA USHAURI USINGEKUJA KUOMBA HAPA...hapa umekuja kuomba ushauri ili tukuambie MVUMILIE...
EEEEH MVUMILIE KWA SABABU WEWE NI MTUMWA WA PESA...

Alafu NOBODY IS BUSY, IS THE MATTER OF PRIORITIES...

YOU ARE NOT HIS PRIORITY...WAPO WATU ANAWAPA MUDA WAKE NA SIO WEWE...
 
Eti yupo busy? Chooni anatuma nani aende kwa niaba yake? Aisee sipendi huo ujinga nasikiaga kinyaaa.

Kwa kifupi hakupendi anataka ujiongeze usepe.

Hivi jiulize, analala kazini? Muda wa kulala anakosa kukutumia hata sms? Vip asubuhi wakati wa kuamka si ndo muda wa kukujulia hali?
Vipi hali chakula? Haongei na ndugu zake?

Acha kujishushia heshima, acha kumpa kiburi ajione yeye ndo NEC, nawe mpotezee.

Mimi huo upuuzi ulishawahi tokea miaka fulani 😀😀😀😀😀

Sasa hivi ukiniletea shobo najibu pale pale, nikikutumia sms good 9t au yeyote wewe jifanye hujibu uone kama ntakutafuta tena. Mpaka utakapojibu na mm ndo nakujulia hali.

Nafanya kazi silali njaa kwa nini jiteseke nitume sms 5 ujibu moja? Hizo ni zalau .

Dear mleta uzi dont be cheap.muoneshe kuwa na wewe uko busy kama alivyo busy.

Au wewe ndo wale wanawake wanajiita " siwezi kuishi bila wewe? Akifa utazikwa nae?

Ukiona mwanaume hajakutafuta zaidi ya siku mbili wewe sepa kimyaaaa kwan sh ngapi?
 
INAONEKANA HUYO MWANAUME ANA PESA...NA YUPO TAYARI HATA AINGILIWE KINYUME...
 
haupo moyoni mwake, wewe ndio unafosi hayo mahusiano s ajabu ulishaachwa kitambo unashindwa kusoma alama za nyakati??

hebu na wewe mpe a taste of his own medicine, kua busy hata kama huna cha kufanya mkaushie na wewe,
 
Asante sana hapo nimekuelewa
 
Ni Africa tu ndio mtu usipompigia simu unaonekana humpendi na mnaachana!
 
Vipaumbele vyako na vyake vinapokuwa tofauti inamaanisha malengo yako na yake pia ni tofauti..

Waweza kuwa unalenga ndoa karibuni,mwenzio analenga kufika hatua flani kiuchumi kwanza..

Kama ndivyo ilivyo kwako na yeye basi hakuna atakayembadilisha mwenzie ZAIDI YA WEWE KUWA MVUMILIVU kama kweli u"nampenda sana"
Mkuu umemjibu vizuri sana, unaweza kupaza sauti kidogo mpaka hawa wengine tuko nao huku wasikie!?
 
Back
Top Bottom