Dunia ina Mambo...

pisi jacky

Member
Oct 21, 2020
31
150
Vijana wetu wa kiume hamjambo, nawasalim ni mim tena mwandiko bila nukta Wala vituo.

Kuna wakaka mi nawaita watoto, bila kujali umri wao yaan n wavulana. unakuta mvulana ana More than 34 years hajaoa, ila kakazana kupost "mwanaume mwenye gari utamkuta unapopaki gari lako" mala nyingi mtu anaepost ivi gari kama sio la mkopo, Basi hela zake Zina chembe chembe za ushilikina.

Vijana wadogo ambao bado hamjao msidanganywe watoto wazuri, kwamba mwanamke mwenye hela ndo mke mwema msidanganywe kabisa Mwanamke ajue kupika, ajue kufua, ukiludi nyumbani hata kama n chumba kimoja kimepangika kinanukia kale sabuni kaunga ka miambili kanaitwa sesotho, kananukia mno. unakuta na kaugali na kamboga ka maboga kamekolea karanga, ameoga mwenyewe kavaa kitenge ulichomnunulia miaka ile.

Naendelea najaribu kusema nini, kama unaoa mwanamke mwenye kipato au shughuli yoyote, be sure 100% kipato Chako kinazidi Cha kwake utanishukulu badae. japo wapo wanawake wachache sana ambao wanakipato kikubwa kuzidi waume zao na wanaheshim sana waume zao nimewaona japo n wachache mno.

Kijana wangu mdogo, mke n msaidizi biblia imesema"ntakupatia msaidizi wa kufanana nae" usigawane majukum na mke wako nusu kwa nusu tena kwa kutamka kabisa mi nafanya ivi na we fanya ivi my friend utaharbu kila kitu.

Ishi na mkeo kwa akili biblia imeagiza, fanya majukum yako 100% bila kulalamika Wala kusema sema, kama kweli ulioa msaidizi hawezi kubali upate shida atasimama mahali pake kama msaidizi.

Mkeo ata awe na mshahara, awe na mamilion, usiache kamwe kumlea kama mwanamke. yaan kama ni hela ya saloon mpe kama n mkoba mnunulie nk. ukitaka kujua a woman is always a woman hata kama ana mikoba mia ukimnunulia wewe atauheshim ule mmoja kuliko yote aliyonayo.

Can u imagine, mwanamke analud kasuka unywele wa laki nane kwa luluz hair pamoja na kubond milion kasolo, umekazana mke wangu umependeza sana jaman ukitaka kumgusa anakwambia niache nilale nimechoka nywele zinauma kumbe mwenzio kabla ya kusukwa alisukwa na baada ya kusukwa alienda tena kusukwa we umekazana wao wao umependeza kama king'ola Cha ambulance.

Tunapoongelea mwanamke ajitume, mala mia apite kwenye nyayo zako. kama n biashara duka ulifungua wewe kama ni kaz bas ulimtafutia wewe. be the source of everything hii itatengeneza gap ndan. kichwa kisimame na ubavu uwe mahali pake sio ubavu upande kichwani.

Ukioa mwanamke ambae umemuonesha upendo wako na umeplay part ako kama mwanaume be sure wakati wa dholuba au anguko lako atachukua usukan. japo wanawake lazima tutakusema sema kidogo Mungu awape moyo mgum but siku zitaenda.

Usimwambie mkeo izi kauli JIONGEZE MI NAFANYA IVI WE FANYA IVI na mengine mengi yanayofana na hayo. atajiongeza kweli na atafanya kweli uliyomgawia, but be sure my friend ukiludi jion utakua unalishwa maganda ya miwa sukari yote washaila wenzio mchana.

Huna hela unataka mkeo afanye Jambo fulan tumia akili Mungu amewaambia, msifie mkeo, mnunulie ata sambusa ficha watoto wasijeiona mpe usiku mkiwa wawili, fanya mautundu yako mtoto wa kiume Mambo yakikolea mwambie tu wife nina shida na iki mke wangu uone kama hutapewa. Sasa mijanaume mingine anasubili pakuche ndo anasema tena kwa kelele mwanamke mjinga sana huwezi jiongeza kila kitu mim jaman!

Fala sana wewe ungepewa miguu miwili tu maana watatu umekushinda na hujui kaz ake

Naconnect VPN ntaludi baada ya muda
 

Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,551
2,000
Si muandishi mzuri ila una ujumbe mzuri, asante kwa kuongea ukweli mchungu.
 

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
11,716
2,000
Unatwanga maji kwenye kinu, wanapotongoza wako busy kwanza kujua ,'huyu dada anafanya wapi kazi? Mshahara wake shilling ngapi?

Hawanaga akili hawa, hawajui kiumbe mwenye mkono wa kutoa duniani ni mwanamke! Mwanamke ukimpenda kwa vitendo, hakuna shida utapata akae kimya, yupo tiyari kukopa kwa mama yake kisiri adanganye ila akupatie hela.
Mwanamke yupo kama hana hela yupo tiyari kukukopea kokote umalize shida yako. Yupo tiyari kukopea mshahara wake awe anakatwa kidogo.
Nawazaga wanaume wengine kama akili haziko kichwani ziko wap?
 

Pep

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,065
2,000
giphy.gif
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,131
2,000
pisi jacky,

Una hoja ya msingi, sema jitahidi bhana hapo kwenye "r" na "l"....

"Mala" badala ya "mara?! Hapana aisee!!

Maybe asili yako ndio mzizi wa tatizo but try harder!!

Inawezekana hufahamu, but trust me, it's boring!!
 

mzushi flani

JF-Expert Member
Jan 20, 2020
1,407
2,000
Unatwanga maji kwenye kinu, wanapotongoza wako busy kwanza kujua ,'huyu dada anafanya wapi kazi? Mshahara wake shilling ngapi?

Hawanaga akili hawa, hawajui kiumbe mwenye mkono wa kutoa duniani ni mwanamke! Mwanamke ukimpenda kwa vitendo, hakuna shida utapata akae kimya, yupo tiyari kukopa kwa mama yake kisiri adanganye ila akupatie hela.
Mwanamke yupo kama hana hela yupo tiyari kukukopea kokote umalize shida yako. Yupo tiyari kukopea mshahara wake awe anakatwa kidogo.
Nawazaga wanaume wengine kama akili haziko kichwani ziko wap?
akili zipo kichwani, tatizo ni pale kichwa chini kikitawala fikra.
 

pisi jacky

Member
Oct 21, 2020
31
150
pisi jacky,

Una hoja ya msingi, sema jitahidi bhana hapo kwenye "r" na "l"....

"Mala" badala ya "mara?! Hapana aisee!!

Maybe asili yako ndio mzizi wa tatizo but try harder!!

Inawezekana hufahamu, but trust me, it's boring!!
The boring ain't bout the handwriting,
It's the truth behind the handwriting that bores you.
Anyone reading and accepting what I've written won't complain it's boring.
By the way reading and commenting it's optional no one forces you to read
With love
Jacky.
 

Smart Technician

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
605
1,000
Kama ana hela na hizo sifa zote ulizotaja anazo. Vip unanishauri bado tusiowe.

Afu huu ujumbe umekaa kama jiwe la gizani. Inaonesha kuna boy kapost hilo gari na mhusika ka panick kuambiwa ukweli kaja maliza hasira huku

Ushauri wangu jifunze kuwa mke mwema na sio kutafuta mume mwenye hela utakuja nishukuru baadae
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom