Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
Wiki iliyopita ya nilipewa taarifa na ndugu yangu sista aliyeolewa na Muhindi, kwamba wanaomba msaada Jumatatu saa 6 usiku niwapeleke airport pale JKIA wanaelekea India, kwa sababu hawakuwa na gari, nikawakubalia, ilivyofika hiyo siku nikawafuata saa 5 ucku, ili waandae mizigo yao kwanza.
Ghafla nashtuka namuona mtoto mrembo kavaa khanga ni mweupe akiwasaidia kubeba mabegi na kupakia kwenye gari, ikabidi nimuulize Sista kwamba huyu dada ni nani, akanijibu ni dada wa nyumba ya pili hapo tumemuomba awe anakaa hapa kwa mda sisi tukiwa India, maana hapakuwa na mtu nyumba yote ile.
Nikamjibu OK, akili yote ilihamia kwa yule mrembo.
Muda ukafika nikawapeleka airport nikakaa nao mpaka saa saba nikageuza kurudi zangu. nikasema hata lazima nirudi kulekule kwa Sista nikamalizane nae yule mtoto, kwa kisingizio cha kusahau ufunguo.Aisee nilikamua mafuta mpaka Mbezi Beach, ninakaa nao karibu umbali wa kilomita 3 toka kwao.
Nikafika nikapga hodi, mtoto akaja fasta akauliza nani, nikamjibu kaka Karim hapa nimesahau funguo ya gheto kwangu, akasema wapi, nikamjibu kwenye kochi, akasema subiri nikuletee, nikamjibu poa, hapo bado hajafungua geti, na ufunguo nilikua ninao mwenyewe, akarudi akisema haioni, nikamwambia fungua nije niangalie mwenyewe, akafungua geti( KOSA) nikazama ndani nikijidai natafuta ufunguo, saa saba ya usiku hiyo, huku yeye kasimama ameshika kiuno ananiangalia ninavyohangaika kubinua masofa ya watu kama kwetu vile.
Nikamwita anisaidie, akaja, nikasema hapana ngoja nivue shati maana naona joto vibaya, uzalendo ukanishinda nikamfata kwa nyuma nikamkumbatia, lahaulaa akapiga kelele, nikamwambia usiogope, nikamweleza yaliyo moyoni yote mtoto akaelewa ila akawa mgumu kujirahisisha.
Akakimbilia chumbani kwake na mlango kaacha wazi akisema nisimsumbue anataka kulala, nikacheka kimoyomoyo nikisema kwisha habari yako umeniachia mlango wazi pia umevaa kanga moja, nikamfata hukohuko nikaomba mzigo akawa anakataa mara Oooh ndo tunaonana mara ya kwanza, mara nipo period maneno kibao, huku namtomasa tu nikaona mtoto anapumua kwa kasi huku akiongea maneno yasiyoeleweka kama anasoma Al Badir nikasema tayariiii.
Mtoto akanipa ushirikiano vya kutosha mpaka saa 10 alfajiri mwanaume naondoka kwa watu huku mtoto akinisindikiza mpaka getini, kesho yake nipo job akili yangu yote inamuwaza yeye nikasema hapa lazima niende tena, nikamwendea hewani nikaimbisha tena akakubali niende saa tano ila sio na gari maana ndugu watashtukia ishu kwa sababu wapo karibu nao na wanajua Kanjibai kasepa na mimi saa 10.
Muda ukafika nikachapa malapa kama Usain Bolt mpaka kwa Sista nikajilia vyangu mpaka saa 12.Balaa linaanzia hapa baada kupiga bao mbili na mara mwisho, mtoto akaanza kusumbua mara Ooooh sizioni siku zangu na hii itakua mimba yako, nikamwambia acha ujinga wako yaani siku mbili tu siku huzioni, hiyo itakua ya watu wengine unataka kunisingzia, mimi sihusiki, nikaanza kupokea matusi ya kutosha na pia akinitishia kuwa atamwambia Sista kwamba siku ile nilivyowapeleka airport nilirudi kumbaka.
Aisee nilitaka kuanguka kwenye kiti ofisini, kuhusu kama akimwambia sista huu ujinga nilioufanya kwake. Ikabidi niwe mpole tu kukubali hali, akili inanituma nikamchoropoe bila ya yeye mwenyewe kujua, maana baby wangu akijua hili nimekwisha.
Nataka nimpelekee zawadi ya juice iliyo na vikorombwezo vya kuitoa hiyo mimba.Mimi ni pharmacist.