Maneno wanayodanganywa wanaume

May 22, 2017
65
298
Wanaume, Hii ndiyo uongo mnaodanganywa na wapenzi wenu hasa pale anapokuwa amepata mpenzi mpya, wewe fanya hivi...!!

Wanawake ni waajabu, mara nyingi wanafanya maajabu. Wana uongo mwingi sana, Hamna mwanaume na hata mfalme Solomon alishidwa kuwaelewa. Wanawake wanachanganya kupita maelezo.

Japo kuwa wengi wao wanajiaminisha kuwa wao ni wakweli, wanahuruma na wanamsimamo.

Ukweli ni kwamba wengi hawasemi kweli. Msinichukulie vibaya, wanaume wanasema uongo pia lakini mara nyingi wanawake wanasema uongo mkubwa sana hasa wanapo kuwa kwenye mahusiano wakiwa wanajaribu kufanya mahusiano yawe mazuri, kupata kitu Fulani kutoka kwa mwanaume, kuingia katika mahusiano, wanajaribu kutoka katika mahusiano na mara nyingi sana ni pale anapokuwa amepata mwanaume mwingine.

Tujionee baadhi ya uongo wao.

(1) Nimelala na wanaume kama wawili katika maisha yangu:

Kikawaida mwanaume hamsumbui kumuuliza mpenzi wake kama amelala na wanaume wangapi kabla yaye. Ila pindi mwanamke akiulizwa atakimbilia kujibu ni kama wanaume wawili hivi. Wa kwanza ambaye alini nanililyuu na mwingine ambaye nilidate naye pindi nipo shule na tulifanya mara moja tu. Pindi mwanamke akikuambia hivi, usimwamini, usibishane nae. Hata kama amelala na wanaume 300, atakuambia ni kama 3 hivi na kama amelala na 130 anaweza kukuambia kama 13 hivi. Ni kama wanapunguza sifuri moja au mbili. Kwa hiyo mwanamke akikuambia ametembea na wangapi, usibishane, kuwa kimya.

(2) Umenifikisha, unajua sana:

Sikiliza kaka, Sisemi wewe haupo vizuri kitandani, ukweli kila mwanamke atakuambia hivyo aijalishi upo vipi. Akikuambia hivyo nakushauri usimsikilize. Kipimo chako wewe kiwe ni Body language yake tu utamfahamu kila kitu.

(3) Sijawahi kuku cheat na haitaweza kutokea kamwe:

Huu ni msemo mrahisi sana kutamkwa na mwanamke hasa mnapokuwa manaongea wakati mkiwa 9; ataapa kabisa kwa kila kitu kwamba naniluuu yake aiojwi na mtu mwingine zaidi yako na ipo kwa ajili yako mpaka siku ya kiama. Ushauri wangu, Usiumize kichwa chako, usijaribu kutafuta ukweli, itikia tu kama zombie na endelea kuitumia nanilyuu yake as long as it’s available.

(4) Nitakuwa tayari dakika chache tu:

Nisikilize kwa umakini, unaenda out kudate na mpenzi wako alafu mapema anakukumbusha uende kumchukua. Pindi umefika halafu anakuambia nitakuwa tayari dakika chache tu. Mwambie unaenda kununua vocha ngambo ya barabara, geuza gari yako mpaka kwako kisha ukifika weka series season uliyofikia kabla ujafika episode ya 4 atakupigia simu kukuuliza kama umepata vocha. Hapo zima TV na DVD yako na urudi kwenda kumchukua. Utakuwa upo at right time sasa

(5) Nipo poa:

Kama umemuuzi mwanamke wako na kabla ujamuomba msamaha anakuambia usijali, nipo poa. Anza kuwapigia simu kila moja, mama yake, baba yake, mjomba wake na kila moja ambaye unamjua na uwaambie kuwa wewe ni mkosaji tena mwenye dhambi naitaji msamaha kutoka kwa mpenzi wako. Kama utashindwa kufanya hivyo imekula kwako

(6) Huwa sitoagi namba yangu, sijui kwa nini nilikupatia wewe:

Unaitaji kusikia ukweli? Wewe ni wa namba 999. Sasa acha kurukaruka kana kwamba umeshinda bingo. Hapo fanya mambo yako haraka then timua mbio haraka iwezekanavyo.

(7) Wewe pekee niliyekuitaji:

Pindi mwanamke hasa yule mwenye umri uliozidi miaka 30 anakuambia hivyo, wewe ni pekee kwangu, nimekusubiria sana. Cha kufanya, tingisha kichwa na mwambie safi sana! Usibishane nae, ukweli wewe ni chaguo la mwisho na ambae ukuweza kukimbia.

(8) Sio wewe, ni mimi; unahitaji mwanamke bora zaidi:

Ha ha ha!! Hii ni moja ya classic lies wanawake wanadanganya ili akuache. Anakuwa tayari amepata mwanaume mpya aliye tajiri na handsome. Itakuwa vizuri kama utajitendea haki wewe mwenyewe kwa kuto kunywa sumu.

(9) Baba yangu ameota kitu Fulani kibaya endapo nitaolewa na wewe:

Sisemi mengi kuhusiana na hili, kama mwanamke wako anakuambia hivi na ukamwamini kisha ukakimbilia kwa imamu wako au mchungaji wako ili akuombee kutokana na hiyo ndoto. Wewe nipigie simu mimi kwamtoro nipe namba ya imamu wako au mchungaji wako ili nimpigie simu ili tukufanyie maombi.
 
Unasafari ndefu bado yakuwajua hao viumbe.

Mwanamke akiwa na pesa zake kidogo za kujimudu, ukiwa na mahusiano nae hakikisha anakupenda kwa dhati na yupo tayari kutumia pesa zake kwa ajili yako. (Sign real Love u)

Kama hana kipato kua mkali kabisa kwenye mambo ya kijinga, ikiwezekana akirudia kosa mala mbili ni unamtembezea kichapo, unambust kofi akili ikae.

Bila hivo hawaendi.
 
Hakuna viumbe warahisi kuwaelewa kuliko wanawake na ukiweza kuwasimamia Wanawake basi utaweza kuyasimamia mambo mengi sana.

Ukitataka kumjua mwanamke kwanza jua ya yeye ni binadamu na ni mwanamke pia.

Mwanamke ana akili na anatafakari,lakini kwa ujumla wake Mwanamke ni dhaifu sana na si mkamilifu wa ujumla wake kimaumbile kutuzidi sisi.

Mwanamke ni mwepesi sana wa kukadhibisha neema za mume wake na ni mtu wa kukithirisha mashitaka.

Narudi....
 
Hakuna viumbe warahisi kuwaelewa kuliko wanawake na ukiweza kuwasimamia Wanawake basi utaweza kuyasimamia mambo mengi sana.

Ukitataka kumjua mwanamke kwanza jua ya yeye ni binadamu na ni mwanamke pia.

Mwanamke ana akili na anatafakari,lakini kwa ujumla wake Mwanamke ni dhaifu sana na si mkamilifu wa ujumla wake kimaumbile kutuzidi sisi.

Mwanamke ni mwepesi sana wa kukadhibisha neema za mume wake na ni mtu wa kukithirisha mashitaka.

Narudi....
Mkuu nahitaji maelezo ya ziada
 
Hakuna viumbe warahisi kuwaelewa kuliko wanawake na ukiweza kuwasimamia Wanawake basi utaweza kuyasimamia mambo mengi sana.

Ukitataka kumjua mwanamke kwanza jua ya yeye ni binadamu na ni mwanamke pia.

Mwanamke ana akili na anatafakari,lakini kwa ujumla wake Mwanamke ni dhaifu sana na si mkamilifu wa ujumla wake kimaumbile kutuzidi sisi.

Mwanamke ni mwepesi sana wa kukadhibisha neema za mume wake na ni mtu wa kukithirisha mashitaka.

Narudi....
Wakati mwingine natamani kuomba Talaka.
 
Back
Top Bottom