Mtu ambaye hajafanya muda mrefu na anayefanya mara kwa mara, show ipi inaweza kuwa nzuri zaidi

zombie_og

Member
Nov 7, 2020
14
19
Nina demu wangu mmoja natarajia kufanya nae tendo mwanzoni mwa mwezi wa 12 Sasa binti mwenyewe amekuwa ni mtu wa kunitishia Sana kuwa yeye anajua Sana Mambo Yani ni fundi haswa Sasa wasiwasi wangu ukawa mkubwa Sana nikihofia kucheza chini ya kiwango japo natumia Vumbi la kongo kama kawaida lakini sijiamini tu kwahiyo nikachukua maamuzi ya kutokufanya mapenzi ya mwanamke yoyote kama wiki 3 hivi ili niwe na hamu haswaaaaaa Sasa nauliza

Je njia yangu ya kutokufanya mapenzi na demu yoyote kabla sijakutana na huyu binti inaweza nisaidia nimfanye aridhike na kwenda nae sawa na utundu wake???

Na je mtu ambaye hajafanya muda mrefu na anayefanya Mara kwa Mara show ipi inaweza kuwa nzuri zaidi kiuhalisia achilia mbali ufundi kitandani

Drop comment yako down hapo
 
Nina demu Wang mmoja natarajia kufanya nae tendo mwanzoni mwa mwezi wa 12 Sasa binti mwenyew amekuw ni mtu wa kunitishia San kuwa yeye anajua Sana Mambo Yani ni fundi haswa Sasa wasiwas wangu ukawa mkubwa Sana nikihofia kucheza chini ya kiwango japo natumia Vumbi la kongo kama kawaida laini sijiamini tu kwahiyo nikachukua maamuzi ya kutokifanya mapenz ya mwanamke yoyote kama wiki 3 hiv ili niwe na hamu haswaaaaaa Sasa naulija

Je njia yangu ya kutokufanya mapenzi na demu yoyote kabla sijakutana na huyu binti inaweza nisaidia nimfanye arizike na kwenda nae sawa na utundu wake????

Mpaka Sasa Hivi Umeshaumbuka, Mundende Hausaidii Kitu
Fanya Mchakato Haraka Sana Wa Mazoezi Uwe Vema
 
Hivi unaelewa nini unaposikia timu flani ina mechi ya kirafiki mara kwa mara?

AU unaelewa nini mtu kama Jonas Mkude asajiliwe na timu nyingine halafu wasimpange kikosi A

kuna zile maneno za mashabiki wanasema kipaji chake kitakufa au kupotea nk,unaelewaga nini kwenye hizo vitu?
 
Nina demu Wang mmoja natarajia kufanya nae tendo mwanzoni mwa mwezi wa 12 Sasa binti mwenyew amekuw ni mtu wa kunitishia San kuwa yeye anajua Sana Mambo Yani ni fundi haswa Sasa wasiwas wangu ukawa mkubwa Sana nikihofia kucheza chini ya kiwango japo natumia Vumbi la kongo kama kawaida laini sijiamini tu kwahiyo nikachukua maamuzi ya kutokifanya mapenz ya mwanamke yoyote kama wiki 3 hiv ili niwe na hamu haswaaaaaa Sasa naulija

Je njia yangu ya kutokufanya mapenzi na demu yoyote kabla sijakutana na huyu binti inaweza nisaidia nimfanye arizike na kwenda nae sawa na utundu wake????

Na je mtu ambaye hajafanya muda mrefu na anayefanya Mara kwa Mara show ipi inaweza kuwa nzuri zaidi kiuhalisia achilia mbali ufundi kitandani

Drop comment yako down hapo
Hamna kitu hapo,huyo ukikamia utaua mkuu......

Nilishapataga demu wa kidigo akijisifia sana na kunitishia ninywe maji mengi,nisije mfia kifuani,nilipuuuzia,maana nilijisemea

"naenda kuburidika ,nikitosheka inatosha"..

Kheee ile kumramba sikio tu,mtoto kalainika na macho juujuuu kama dege dege....hamu zimemzd...nkajua anajifanyisha,ndio hashtag zake,kumbe manz imezidiwa na genye,nilimpiga miti,nkaungansha 4... Mwenzangu anahema kwa mbaaaali kama anataka kufa.

nkaanza pata wasiwasi!!!!? Nkahamaki,ikabd nimuinue mkono,kumbe dogo kazimia,nilipagawa sana,nkambeba niende nae toilet nimwagie maji,mkono yake imelegea,miguuu shingo,kiuno,yaani kila kitu,
nkashndwa mbeba japo alikuwa sio mnene bali mwembamba mwenye shepu ya kibantu,TANDAM YA KUBEBA KISADO CHA MAJI KISIANGUKE,
akili ikanijia fasta,nkaona hapa apate hewa ya kutosha,Nkazima taa,nkafungua madirisha hewa ipite,nkaenda bafuni nkateka maji kwenye kopo,nkamwagia,kichwani hapo hapo alipo lala kitandani ili azinduke lakini wapi...nkazd tetemeka nkaenda kuchota tena,...narud nimwagie,akageuza shingo, akaanza kukohoa kidogo,ikabid nilitupe kopo na kumkimbilia haraka sana,nka mwai,nkamshika kichwa, yeye akaanza kufumbua macho kwa mbaaali,,alaf amelegea sana,nkamtikisha kichwa kama kumuasha,nkamkalisha,ndio nkamuona ananiegemea tukalala tena,huku kanilalia kifuani,lkn Mimi hapo Hofu juujuuu mtoto wa watu akinifia usiku huu hotel za watu,ntafanyeje? Bahati nzur haikupita nusu saa anataka aende chooni,nkampeleka tukarud,nkampashia chai akanywa,nkaanza mchekesha,uongo na kweli,nikimsifia uongo uongo,ili nione kama yuko okay??!!!!!!!...(haaah kila nikikumbuka najicheka sana).

Baadae akaanza kuniomba msamaha ,kuwa huenda ninahofu kwa lililotokea,lkn nkajikaza nkasema usijal ni kawaida.

Nkamuuuliza kwani unahis unaumwa labda? Akasema hapana sijui imekuaje nilijiona naishiwa nguvu tu.
Basi tukamaliza tukikesha mpk asbh kwa story tu,bila ku-do.

Next day,nkaanza kumpotezea ili tuvunje mahusiano maana niliogopa sana hali ile kujirudia,alilia sana ,akawa anasema anajua namwacha kwasababu ya tukio lkn Mimi,nilikataa nkawa nkasema hapana,Niko bize na kazi,mpk baadae nkasikia ameolewa na jamaa aliyedumu nae kweny mahusiano just for 6 months....na sasa wana mtoto 1.

NI MIAKA 7 IMEPITA SASA
 
Ukampashia chai hotelini,sawa bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom