Ukitaka kudumu ktk mahusiano na mwanamke vumilia usimfukuze

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,640
9,219
Wakuu,

Aliyesema, "You can not understand a woman" alikuwa sahihi kwa asilimia 100%,

Kamwe huwezi kumuelewa mwanamke, ila unaweza kumuelewa kwa kumpenda,

Ukikuta kapika chakula kibichi vumilia usimfukuze,

Akikutukana au kukutolea maneno makali mfano kukuambia unanuka wakati mnalala naye usiku kucha kila siku vumilia usimfukuze.

Akiwa anakununia nunia vumilia usimfukuze,

Akikasilika akakunyima unyumba vumilia usimfukuze,

Ukikorofishana nae akakurushia ngumi au kukuzaba kibao vumilia usimrudishie

Ukimfumania mfukuze kama huwezi vumilia usimfukuze,

Hakika mtadumu daima,

Je wewe umeweza vipi kudumu na mke au mpenzi wako kwa muda mrefu?
Ongezea neno hapo chini.
 
Since wanawake wote hawafanani
Why uvumilie kuishi na kero ya mmoja
Wakati pengine kuna ambae ataweza kukupa peace unayoitafuta???

Kuvumilia ni pale huna choices..lakini
Kama wapo wengi na wengine wastaarabu vya kutosha why uvumilie kero ya chizi mmoja???
 
Nakunywa pombe yeye hanywi, mwanzo alikataza nisinywee bar ninunue kwa mangi ninywee ndani nilivofanya hivo kapiga mkwala ,now nakunywea popote narudi muda wowote ni mke wangu msumbufu anaongea sana. Kila kitu namhudumia hadi mtaani anaonekana malikia maana kilamshahara nampa 20% ya mshahara kama matumizi yake binafsi. Alishanikorofisha sana ila sijamfukuza sometimes ananiona kama sio mwenye upendo wakati mm nampenda.
 
1.Tafuta pesa kwa bidii

2.Oa mwanamke anayekupenda

3.Mpende mkeo,msifie pale anapofanya vizuri.

4.Mpongeze (baadhi ya vitu)hata Kama kuna baadhi ya sifa ambazo hana we mfanye ajione anajua.

5.Kosoa kistaarabu,mpo zenu sebuleni mnaangalia TV Mara mkeo analeta kaushamba flani,we piga kimya maana Kuna vitu vinaweza hatarisha ndoa yako ukiwa mropokaji

6.watambulishe marafiki zako,iwe wakike au wakiume,inamuongezea kujiamini

Kuwa na desturi ya kumpa vihela vidogo vidogo hata Kama ana kazi yake,mtumie hata kwenye simu yake

NB:mambo haya hayana kanuni hata ukimpa dunia na vyote vilivyomo akiamua kuondoka huna la kufanya
 
Mshahara wako Bei gani mkuu
 
Umemaliza kabisa.

Mpende mkeo kwa moyo wako wote na mpatie haki yake kwa halali ndoa na matumizi kwa jumla!!
 
Back
Top Bottom