Kwanini wakina dada wengi wanathamini sana kuongeza makalio na hipsi?

RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
1,347
2,957
Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni kijana kutokana na utafutaji wa pesa haswa kipindi hiki cha matumizi makubwa ya social networks haswa Tanzania nikaona nianzishe secret business ya uagent wa dawa za asili (tiba asili) nikafungua page Facebook na imefanikiwa kufikisha likes 841 na followers kadhaa na ina muda kidogo kama mwaka mmoja sasa.

Kitu kinachonishangaza na kitu ambacho nilikuwa sikijui kabla ni kwamba yaani wadada wengi kumbe wanatamani kuwa na matako makubwa na kuongezeka hips, maana kupitia page yangu ya biashara Inbox messages nyingi nazozipata ni za wadada wakiulizia dawa za kuongeza matako na hips tu, na mmoja mmoja anayeulizia dawa tofauti.

Kitu nilichokuja kugundua wasichana wengi wa kitanzania wanathamini matako na hips kuliko kitu chochote kutokana na research data za page yangu kwa sample yakutosha tu.
 
Una akili kweli??
Umeanzisha biashara Kwa lengo la kuchunguza au kuuza??
Sasa umepata wateja unakuja kuwaponda humu??
Ulitaka wasiulize bidhaa yako???
Ndo maana mkuu sijakiuka privacy yao , nina lengo la kuwaonyesha fursa ilipo kwa watumiaji wa social networks, pia kuwajuza vitu ambavyo hufanyika kwenye secret business ambavyo ili uvijue lazima ushiriki.
 
Kwani wewe unaziuza hizo dawa au huziuzi?

Kama huziuzi, tutasema labda unashangaa kwa nini unapata wateja wengi wa aina hiyo.

Na kama unaziuza, basi utakuwa umeamua tu kuwasengenya wateja wako, ilhali ulikuwa unajua kuwa zina soko.
 
Back
Top Bottom