Kwamba kila baada ya saa moja nimpigie simu...

msakhara

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
299
Reaction score
409
Wanasema ili kuimarisha mahusiano ni vizuri kuwe na mawasiliano mazuri kati ya pande zote mbili yaani me na ke....

Huyu wangu kazidi sasa, au mimi ndiye sielewi mambo yanavyoenda... Kwamba kila baada ya saa moja nimpigie simu... Ilikua kama nzuri mwanzo, ila sasa inakera...

Wenzangu mnawezaje kuhandle ratiba za hivi?

Ni wote wako hivi, au hii ni spesho kesi kwangu??
 
Kama hamna cha muhimu kinachowafanya muongee, sio lazima kupiga simu kila siku.

Kwa sababu kupiga simu kila siku haimaanishi ndio anakupenda sana.

Kama mapenzi yenu ni ya long distance, hata akikupigia simu haiwezi kufanya yeye kuwa mwaminifu kwako
 
Jamani... Mapenzi ya kupigana simu Kila dakika Ni kero... Tena iliyopitiliza. Umekaa kidogo video call...upo wapi... Upo CHOONI missed call kumi..upo wapi..[emoji36][emoji36][emoji36].

Mapenzi kupeana space Basi simu zikizidi sanaaa Mara 5.... HIVI kupiga simu Kila LISAAAAA mnaongea Nini?
 
Mkuu mbona vifurushi vya mwezi vinatoa madakika kibao mpaka yanaexpire? Wewe mpigie kila baada ya robo saa. Mbona fresh tu.
Acha ziexpire... Mpigie asubuhi.. mchana jioni....au Kama kunadharura au kitu Cha muhimu..
Sio unapiga simu Kama upo nyumbani washa blender... Gonganisha vijiko[emoji849][emoji849][emoji849].
 
Jamani... Mapenzi ya kupigana simu Kila dakika Ni kero... Tena iliyopitiliza. Umekaa kidogo video call...upo wapi... Upo CHOONI missed call kumi..upo wapi..[emoji36][emoji36][emoji36].

Mapenzi kupeana space Basi simu zikizidi sanaaa Mara 5.... HIVI kupiga simu Kila LISAAAAA mnaongea Nini?
Mambo ya kupigiana simu Kila muda sio poa,mim ratiba yangu ni asubuhi nimjulie Hali afu baada ya hapo tunakutana jion au usiku tena
 
Jamani... Mapenzi ya kupigana simu Kila dakika Ni kero... Tena iliyopitiliza. Umekaa kidogo video call...upo wapi... Upo CHOONI missed call kumi..upo wapi..[emoji36][emoji36][emoji36].

Mapenzi kupeana space Basi simu zikizidi sanaaa Mara 5.... HIVI kupiga simu Kila LISAAAAA mnaongea Nini?
Mimi hata hizo mara tano kwangu ni nyingi sana.
 
Kama hamna cha muhimu kinachowafanya muongee, sio lazima kupiga simu kila siku.

Kwa sababu kupiga simu kila siku haimaanishi ndio anakupenda sana.

Kama mapenzi yenu ni ya long distance, hata akikupigia simu haiwezi kufanya yeye kuwa mwaminifu kwako
Nashukuru....shughuli ni yeye kuelewa hili!!
 
Oh... Sawasawa, hapa nnachomokaje sijui
1. Anataka kukucontrol saaana.
2. Anakupenda sana.
3. Hataki akukose, alishawai kuachwa kwa style hiyo.
4. Wewe ni first love kwake.
5. Anataka ndoa.
 
Kero sana... Maswali yaleyale, umekula, vipi uko unafanya nini, nimekumisi....
Jamani... Mapenzi ya kupigana simu Kila dakika Ni kero... Tena iliyopitiliza. Umekaa kidogo video call...upo wapi... Upo CHOONI missed call kumi..upo wapi..[emoji36][emoji36][emoji36].

Mapenzi kupeana space Basi simu zikizidi sanaaa Mara 5.... HIVI kupiga simu Kila LISAAAAA mnaongea Nini?
 
[emoji23] [emoji23]... Unataka niharibu mambo wewe
Kila ukiwa unampigia uwe unamwambia 'ila baby una sauti nzuri, kama mbuzi vile'. Fanya hivyo kwa wiki tatu mfululizo kisha ulete mrejesho.
 
Back
Top Bottom