Mwanaume asiyetoa hata hela ya vocha, hela ya pedi na viatu hajitambui

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,568
44,776
Mpe mpenzi wako bando la week tuseme 2000,kila mwezi mpe 5000 ya kunulia pedi na angalau kila mwezi umchukulie viatu vya 8000 hio gharama inatosha kabisa mengine anayotaka watamsaidia wazazi wake ndugu zake na marupurupu mengine anayopata kazini yatamwezesha tu kuishi vizuri.

Mahitaji hayo Ni ya msingi kumpa mwanamke wako uliyenaye ila Kama uko single usiogope kumpata mwanamke mpya kwa hofu ya kuombwa pesa.labda kidogo Kama una kauwezo unamnunulia na mafuta anayoyataka imeisha hio.hata offer ya soda hakuna ajinunulie mwenyewe
 
Je na kwa mwanamke anayefanya kazi na anajitegemea kuna haja ya kumpa hizo hela unazotaka wewe? Mi mwanamke kiombi kiombi kama demu la kichagga sitaki kabisa.

Nataka mwanamke anayejitambua na nikiridhika naye ndipo nampa hela kwa kumshukuru. Hakuna kitu kibaya kuwa na demu mzigo/msindikizaji.....kila mkitoka hachangii chochote, yeye ni kula na kunywa tu hapo hapo ataita wenzake ili uwanunulie vinywaji wapate kumsifia kuwa ana bwana asiye mbahili.
 
Mwenyew ubinadamu ntampenda asee hizo ntawaachia akina sanchoka
Kuna ubinadamu halafu kuna uzuri wa muonekano. Kuna aina flani ya mwanaume kwa kila mwanamke.
Kuna wanawake wanavutiwa na father figures kitambi na sura nzito, wengine matozi na ma HB, wengine mwanaume awe mrefu mweusi.

Unaweza kuta mwanaume ana ubinadamu na kukujali balaa ila huna mzuka nae sababu labda ni mfupi tu au hana muinekano uupendao. Just be honest, there was a time ulimpata mtu wa hivi ila ukawa huvutiwi nae kihisia japo he was nice.
 
Je na kwa mwanamke anayefanya kazi na anajitegemea kuna haja ya kumpa hizo hela unazotaka wewe? Mi mwanamke kiombi kiombi kama demu la kichagga sitaki kabisa. Nataka mwanamke anayejitambua na nikiridhika naye ndipo nampa hela kwa kumshukuru. Hakuna kitu kibaya kuwa na demu mzigo/msindikizaji.....kila mkitoka hachangii chochote, yeye ni kula na kunywa tu hapo hapo ataita wenzake ili uwanunulie vinywaji wapate kumsifia kuwa ana bwana asiye mbahili.
Hahahahah hapo kwenye demu kiombi ombi umenifurahisha. Ila watakuja kukuponda tu jiandae 😂😂😂! Demu anataka aitie hasara hazina ili apate ujiko kwa mashost
 
Hizi gharama unaingia ukiwa unaishi nae au akiwa anakaa kwao na kukitembeza kwa machalii wengine huko uswazi?

Hii ni sawa na kulima shamba la manispaa ambako yeyote atakuja kujichumia mboga.
Mwanamke ambae hujamweka ndani gharama ambazo unatakiwa kutumia nae ni zile tu mkijiandaa kufanya tendo na kifuta jasho baada ya tendo...tofauti na hapo ni kujipa majukumu ya wazee wake
 
Kuna ubinadamu halafu kuna uzuri wa muonekano. Kuna aina flani ya mwanaume kwa kila mwanamke.
Kuna wanawake wanavutiwa na father figures kitambi na sura nzito, wengine matozi na ma HB, wengine mwanaume awe mrefu mweusi.

Unaweza kuta mwanaume ana ubinadamu na kukujali balaa ila huna mzuka nae sababu labda ni mfupi tu au hana muinekano uupendao. Just be honest, there was a time ulimpata mtu wa hivi ila ukawa huvutiwi nae kihisia japo he was nice.
Hizo appearance utaziona kabla ya kupata mahitaji yake na utazikubali au kupotezea km atakidhi vigezo ndio unamuweka kwenye chumba cha MOYO sasa na kadiri anavokupa ubinadamu ndio na wewe unajenga uzio watu wasisogee.
 
Back
Top Bottom