Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari, sina mengi ya kuongea ila kuna jambo moja huwa naliona kwa baadhi ya mabinti na binafsi naona kama ulimbukeni au ushamba fulani pale unapompeleka lunch sehemu zile kubwa kubwa. Kuna...
16 Reactions
83 Replies
8K Views
Ingekuwa mnafunguka mnatuambia yote mliyoyafanya ujanani mpaka jinsi mlivotuleta duniani hakyanani sisi watoto wenu tungekufa mapema. Iko hivi hii habari inahusu watu wa3 yaani Dada mtu (ntampa...
20 Reactions
83 Replies
6K Views
Kijana chunga sana mtu unayemuoa. Kuna baadhi yao wanaweza kukuharibia malengo yako. Usifuate wezere tu.
30 Reactions
105 Replies
16K Views
Kuna best angu kaniomba ushauri nimeshindwa kumsaidia. Ipo hivi leo mida ya mchana alimchukua wife wake kutoka home akamshusha kituo cha mwendo kasi. akampatia tsh 90,000 kwamba aende kariakoo yy...
6 Reactions
105 Replies
8K Views
Wakuu mimi huwa sielewi, unakuta mdada mmekutana tu kimjini mjini hamna background yeyote inawaunganisha, lengo likiwa ni kuanzisha mahusiano. Sasa unakuta mtu anakukwepa, ila haishi kupiga...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu mko poa Leo bana nimepata ushawishi mkubwa saana ila namshukuru Mungu nimeweza kuepuka kwa kweli. Iko hivi kuna mtoto wa shangazi amemaliza form 4 ni mzuri walai saaa anapenda kuniita...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Utafiti wa Taasisi ya Kinsey Indiana University Marekani umehitimisha kuwa Mwanaume uchepuka kwenye uhusiano/ndoa yake ni dalili ya kuwa na akili ndogo (low IQ), "Wanaume wenye akili kubwa muda wa...
0 Reactions
3 Replies
805 Views
Habari zenu wakuu! Asanteni wote mlionipa ushauri from the previous post Kitu nilichogundua ama kupata somo ni kuwa kutokumuamini yeyote yule haswa marafiki zetu wa karibu sana maana anakujua na...
29 Reactions
280 Replies
25K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, Wadada kuna kitu huwa hamkijui lakini leo naomba mkijue. Hivi wadada mshawahi kujiuliza ni kwanini mwanaume...
30 Reactions
210 Replies
33K Views
Mwanaume mmoja tajiri alikuwa anataka kuoa, lakini hakujua atamuoa nani maana kila msichana alikuwa akijisogeza sogeza kwake naye aliogopa kutokana na kizazi hiki kilicho jilaani chenyewe. Basi...
1 Reactions
3 Replies
790 Views
[emoji117] kuna msichana mmoja nilimpenda sana na nilipenda huko mbeleni pengine aje kuwa mke wangu. Huyo binti amemaliza Masomo yake mwaka huu, kwa Mara ya kwanza yule binti nilimtongoza...
20 Reactions
79 Replies
10K Views
Hivi inapotokea ukabakwa na mwanamke nini cha kufanya na wapi unaweza kwenda kupeleka mashtaka yako? Je vipo vyama ambavyo vinawatetea wanaume?
7 Reactions
251 Replies
16K Views
Jina langu ni Gasper umri wangu ni miaka 33, natafuta mwanamke wa kuzaa naye mtoto ,nitamtunza na kumtimizia mahitaji ya yote ya msingi anayo pata mwanamke.Umri wake uanzie miaka 27...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
JINSI YA KUMTAMBUA MWANAUME WA KUKUOA. WANAWAKE wengi wanateseka penzini kwa kutowatambua vizuri wanaume wenye mapenzi ya dhati. Wengi hujikuta kwenye maumivu makali kwa sababu ya kuingia...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Wakuu Salaam; Kuoa au kuolewa ni kati ya eneo mojawapo ambalo kwa namna moja au nyingine binadamu tunapitia. Si lazima kuoa au kuolewa ila ni kati ya eneo muhimu kwenye maisha. Wapo wengine...
8 Reactions
69 Replies
10K Views
Salaam, Ni matumaini yangu makubwa kwamba wote tu wazima wa afya njema. Na kama kuna mtu anaumwa au afya yake imetetereka kidogo basi mwenyezi Mungu atakusimamia ili uweze kupona haraka na...
7 Reactions
37 Replies
8K Views
Habari Nakumbuka katikati ya 2010 - 2012 Kituo cha Marinatha kilichopo Morogoro kilifungua chuo cha mapenzi kwa ajili ya kufundisha kozi za mambo ya kupenzika. Kwa wenyeji wa Morogoro najua...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Anaitwa Rest Babaque, maana anayoyafanya kwenye mitandao huko inaonesha kabisa alikuwa haamini kama atapata mtu wa kumtoa kimasomaso katika hili suala. Kila la heri kwake. Nb Sio majungu ni...
4 Reactions
30 Replies
11K Views
Naona kichwa cha uzi huu kimejieleza vizuri. Kwa kuanza, mke wangu mimi ni mwalimu wa Sekondari, anafundisha shule fulani Manispaa ya Temeke. Changamoto zinazonikabili mara nyingi ni Wife kuamka...
9 Reactions
42 Replies
5K Views
Unakutana na kijana mdogo kabisa (20_23) unaweza hata kumzaa umemzidi miaka kumi na ushee,ila anadai anakupenda anataka uwe mpenzi wake na yupo serious kabisa Ni nini kinasababisha hali hyo? Ni...
7 Reactions
143 Replies
20K Views
Back
Top Bottom