Wakuu mko poa
Leo bana nimepata ushawishi mkubwa saana ila namshukuru Mungu nimeweza kuepuka kwa kweli. Iko hivi kuna mtoto wa shangazi amemaliza form 4 ni mzuri walai saaa anapenda kuniita Uncle .
Leo Mimi sikuwenda chachi ila familia yote ilienda kanisani na yeye mmoja wao ila yeye alienda kanisa la karibu ili awahi kurudi home aje kupika , daah nyumbani nikawa nimebaki mwenyewe tuu, akarudi kutoka chachi tukawa sisi wawili tuu nyumba nzima akaanza kuniita uncle akaniambia uko wapi nikamuambia nipo chumbani akasema sawa nakuja nikachukilia utanii
Gafla bi mvuuuu mtoto huyu hapa kavaa kiasara asara anasema eti nimpige picha alafu nimuweke WhatsApp status heeee! Mara akaanza kunisogelea nikaona hapa shakua bala nikamtoa sebuleni nimzugishe na movie ila wapi akaniganda mara akaanza kunishika shika daaah jamani
Nikajichomoa nikamuambia naenda dukani narudi akanizuia nikamuambia nakuja sasa hivi daaah akakubali kishingo upande nikatoka nje nikaenda kwa mshikaji nikabana mpka wote wakarudi kanisani na mimi ndo nikaja akaninuia hatari mpka sasa hivi kanuna ila namshukuru mungu nimeepuka vishawishi
Kesho job hatonipata tenaa!.
Hivi vitoto vilivomaliza form4 miyeyushooo kweli.