Chuo cha Mapenzi kilichofunguliwa Morogoro kiliishiaga wapi?

Chuo cha Mapenzi kilichofunguliwa Morogoro kiliishiaga wapi?

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,585
Reaction score
2,670
Habari

Nakumbuka katikati ya 2010 - 2012 Kituo cha Marinatha kilichopo Morogoro kilifungua chuo cha mapenzi kwa ajili ya kufundisha kozi za mambo ya kupenzika.

Kwa wenyeji wa Morogoro najua wengi watakuwa wanakijua.

Nakumbuka mwanzoni waliwekewa ugumu na wizara ya utamaduni lakini walifanikiwa kuwaelewesha na baada ya marekebisho kidogo ya kupunguza 'makali', mtaala ulikubaliwa.

Sasa naomba mtujuze kwa wanaoelewa hiki chuo kiliishiaga wapi yaani kwa anayefahamu vipi bado kipo hadi leo au kilipigwa stop, tunaomba mtujuze
 
Na field zao zilikua zinafanyikia wap???.....

Maana prac tu zitakua hatari na nusu
 
Mkuu naona huitaji elimu imwagike ,Ni mwendo wa maswali mchanganyiko tuuh[emoji23]
Hiyo style tamu sana mkuu hasa ukute demu ana t@ko kubwa kiasi halafu msafi.

Huwa napiga t@ko nzito nzito halafu kwa mwendo mdogo mdogo[emoji1][emoji1]

Natania tu...

Kwema lakini mkuu
 
Back
Top Bottom