mwanga mweusi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 288
- 473
SALAM WAKUBWA.
HERI YA SIKUKUU
TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UPENDO NA KWA WASIO NA UWEZO TUJUMUIKE PAMOJA SOTE BINADAM BWANA.
Mimi ni kijana wa miaka 23 sijaoa bado na nipo kwenye ratiba za kuoa na nimejipanga kila mahali nimefaulu ila hapa kwenye kuchagua naona kama ninafeli, wasichana wa kuwaowa wanakuja wengi tu ila hapa kwenye tabia zao na zangu zinapishana kidogo .
Mimi sijasoma ila nimetoka kwenye levo za chin nipo kwangu nimejenga na biashara zangu ni ufugaji wa kisasa na kilimo na kazi nyingine inayokuja mbele yangu kama naimudu nafanya na nimejiajiri mwenyewe . nimejibana sana ata afya bado haijakaa kama inavyotakiwa nashukuru mungu nilipofikia na ninataka nisonge mbele nahitaji kua na mwenza wakusaidiana na mimi.
Sasa kwenye aina ya wasichana wanao ninyookea ni wale wanaojitapa kwa maumbile na uzuri usista duu kama wote ila kicwani hata 0 ni kubwa hawataki kujishuulisha na kazi yeyote kila anaekuja nasikia anasema UKINIFUNGULIA DUKA LA VIPODOZ NITAFURAHI yani namwangalia alafu nawaza nilipotoka kushika jembe kijijini had nilipo fikia hakuna sapot niliyopew zaidi ya majogoo ya majiran kuniamsha, hamiliki chochote zaidi ya simati simu na begi la rangi za kujiremba .
Hapa ndipo kwenye mada
Kuna msichana ananipenda sana tu ila nae kuna vtu vinanipa shida inawezekana ni akili yangu mbovu naombebi mnipe ushauri iwe sawa .
Amenizidi miaka 4 na miez 5 ana mtoto 1 dume yeye ndio baba na mama, baba mtoto alijiongeza akasepa ila anajituma sana ana kamgahawa na anajua biashara (((kuna muda nawaza ujinga et inawezekana anavyo pambana ivyo ni kwasababu ya mtoto wake isije ikawa nampiga chura teke)))
Naombeni ushauri anajitoa sana kwangu japo anatabia za kunywa pombe matumizi mabaya ya hela
Nimuoe au nipambane na hali yangu maana nashindwa kujua yupi mwema yupi si mwema
Natashukuru kwa ushauri utakao nipa ASANTE.