KITIMUTIMU CHA NJANUARI

KITIMUTIMU CHA NJANUARI

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
299
Season itakayofuata baada ya hii ya hizi sikukuu mbili Christmas na mwaka mpya ni Ada a.k. a Njanuari[emoji23] mwezi wa kuheshimu sana huo[emoji114][emoji125].
 
Kupanga ni kuchagua,ukila na kuacha akiba mambo yanakuwa burudani kabisa
 
Kwani January inakuja ghafla,kwamba umelala ghafla unaamka January ishafika.....weka akiba MKUU,au PUNGUZA matumizi yasiyo ya lazima....utakuta mtu anatumia laki 5 desemba,ikifika January anaangaika Ada ya laki 4 ...HUU NI USHAMBA
 
Back
Top Bottom