namshukuru mungu kujiunga jukwaa hili
napenda na mimi niweke kero yangu moja kuhusu wanaume wa dar
ukienda out na mwanamme wa dar utaulizwa tu unakunywa nini.. tena atakushawishi unywe vinywaji flani flani kama maji au soda yaani juu juu vya njaa njaa kumbe anaogopa bill sijui?
ila wanaume wa arusha /moshi/mwanza yaani mkifika tu mahali anaenda direct jikoni kwa mbwembwe zote kudai kuna supu gani ? miguu mingapi ya mbuzi au kondoo? au kuku au samaki
ndo mambo ya vinywaji na ukisema unakunywa soda au maji anaweza kuumwa kabisa yaani anaweza hata kukuhonga laki unywe bia moja tu at least chupa imiminwe.ila wa dar ukiagiza bia ataanza mahubiri oooh sio vizuri mwanamke kunywa pombe bla blah kibao