Mliooa hongereni sana, salute kwenu

Mliooa hongereni sana, salute kwenu

East Wind

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2020
Posts
2,783
Reaction score
6,078
Kuna sehemu nahisi kama nime nasa kabisa, naona kama siwezi kuchomoka. Na mwanadada ananishawishi tuanze taratibu za ndoa.

Ila sasa toka limeanza hili makoroni yangu yanakuja kwa speed ya light, yana show love la hatari, yani yana jari, mengine yananifata nilipo, alafu sasa kila siku naona pisi kali alafu ukigusa nazo hazichomi.

Napata mtihani mzito sana juu hili, ndio maana nimeona niwapongeze mlio vuka hapa. Kinachonipa shida sitaki kuja kula manzi nje ya ndoa ( sina ndoto ya ku cheat ).

Extrovert mrangi anasbo Ezekiel Mbaga Don Juan 😀😀😀
 
Miluzi mingi ilimpoteza mbwa! Tafakari hayo
Usema ukweli.. kuna kipindi nawaza najikuta nacheka mwenyewe.. najiuliza hivi haya mambo ndio yapo hivi.. kipindi hiki ndio wanakuja kama wametumwa.. na ukiwacheki sasa kikuonekano ni wazuri kuliko hata unae taka kuwa nae.. na mbaya zaidi ukikumbukia mambo ya chumbani ndio kwisha kabisa
 
Nakushaur oa ,hizo pisi kali sio ww wa kwanza kuziona ,na ww usibweteke kwa kuona uko tofauti sana na wengine .kiufupi ao endeleza maisha yako omba ujaliwe watoto na familia bora yenye afya

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuu. Message imenipa nguvu. "
kiufupi ao endeleza maisha yako omba ujaliwe watoto na familia bora yenye afya"
 
Usema ukweli.. kuna kipindi nawaza najikuta nacheka mwenyewe.. najiuliza hivi haya mambo ndio yapo hivi.. kipindi hiki ndio wanakuja kama wametumwa.. na ukiwacheki sasa kikuonekano ni wazuri kuliko hata unae taka kuwa nae.. na mbaya zaidi ukikumbukia mambo ya chumbani ndio kwisha kabisa

Hiyo ipo sana na e wako wanataka warud kabis
 
Hiyo ipo sana na e wako wanataka warud kabis
Hadi najiuliza inakuwaje.. napata changamoto hata kuwa huru kwa mtu ambae nahisi niingie kwenye ndoa.. kuna uhuru flani nampa hadi kwenye simu.. ila kuna kipindi najishtukia.. unajikuta ghafla sms imeingia..nime miss utamua wako.. najaribu kuzi block.. ingawa nae mwanamke anajua background yangu, ila ni mtihani
 
Wee oa tu ,huyo huyo ambae sio mzuri kuliko uliokuwa nao wengine. Ili mradi ana vigenzo vya kuwa mama watoto wako ,hizi pisi za njee zipo tu na huwa tunaishi Nazo kiakili ,lakini unahakikisha nyumbani kila kitu kipo sawa mke halalamiki watoto wako na furaha na wanacheka na kucheza bila stress .
 
Mkuu pisi kali sio wanawake wa kuoa hao ni wanawake wa starehe !

Oa huyo uliemkubali,najuwa hujapenda chura tu nakatabia kiasi kamekuvutia.

Achana na hao wengine, kuna nyakati kama hizi utadhani ww ni mzur sana maana wanawake wa kila aina watakuja ,ukishaharibu kwa demu wako huwaoni!

Utapoteza Mali muda na kutumikisha akili visivyo.
 
Kuna sehemu nahisi kama nime nasa kabisa, naona kama siwezi kuchomoka.

Na mwanadada ananishawishi tuanze taratibu za ndoa.

Ila sasa toka limeanza hili makoroni yangu yanakuja kwa speed ya light, yana show love la hatari, yani yana jari, mengine yananifata nilipo, alafu sasa kila siku naona pisi kali alafu ukigusa nazo hazichomi.

Napata mtihani mzito sana juu hili, ndio maana nimeona niwapongeze mlio vuka hapa. Kinachonipa shida sitaki kuja kula manzi nje ya ndoa ( sina ndoto ya ku cheat ).

Extrovert mrangi anasbo Ezekiel Mbaga Don Juan 😀😀😀
 
Mkuu usioe kwanza subiri upevuke kiakili! Usichukulie kama kejeli ila nakushauri tu usioe kwanza utakuja kunishukuru baadae
Mkuu ndoa sasa hivi unaona sarakasi zake ? Kuo kuna hitaji kujitoa kaka. Ndio maana hata kuna wazee sasa hivi amabo tuna hisi wamepevuka kiakili wanafanya madudu kwenye ndoa zao. Ndoa inahitaji kujitoa
 
Back
Top Bottom