Nimekuwa wa kukata tamaa muda wote juu ya kusoma, tumebreak amekuwa kama chanzo cha akili yangu kuvurugika

odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
163
291
Nipo chuo mwaka wa pili semister ya mwisho mwezi wa 1 finally tarehe ishirin naa hiiv nikifanya vizuri utabaki mwaka mmoja tu yani semister 2. Jamani sijui nitakuwa na shetani gani mwili umekuwa mzito!! Akili nzito kila kitu naona tabu tu nimekuwa wa kukata tamaa muda wote juu ya kusoma, nawaza kama niishie miaka miwili hii hii kwani nipumzishe akili kwani ila nikifikilia tena kitaa life gumu!!

Na hii imesababishwa na kuwa na mahusiano na somebody tumebreak up yani amekuwa kama chanzo ya akili yangu kuvurugika maana most of the time na concentrate na mawazo tu.
 
Unajua maisha sio mapenzi tu? Kabla yake ulikuwa marehemu? Maisha mtaani ni magumu, ila bado hauko mtaani. Uko masomoni, soma na maliza, ya mtaani utayakuta muda ukifika huna sababu ya kuyakimbilia, hii ni pamoja na masuala ya mahusiano.
 
Uki-break up katika mahusiano kwa mtu uliyemzoea ndio inavyokuwa, mambo yote hayakai sawa.

Solution hapo, calm down mtafute mkae chini muombane samahani yaishe.
 
Be happy if someone happens to leave you alone because in so doing they give you more room to accomplish your best goals in life. Sasa unapaswa kutumia zaidi mental capacity kufanya maamuzi na siyo hisia. Huwezi kusolve problems zako kwa kuishia kutafakari ukubwa wake na kujisikitikia day in and day out. The solution is for you to get matured just overnight before it is too late, wake up, look up, pray and ask God for guidance and then FOCUS & CONCENTRATE. Understand a bright future is clearly waiting for you --- the decision is up to you --- now! Goodluck!
 
Mnarogwa sana kama hujui kijana, huwezi penda hivyo, ila kuna watu mke hutoka kwao na dawa za ndere ili kusumbua vijana na kuwahudumia.

Hata mimi nilikuwa hivyo hivyo chuoni nikapaenda lana chuo kwanza zee kuliko mimi! Lina mindevuu kama gudume eti ''Rose Joshua! chaga hilo mpyutuu!!! bayaa! jeusiii! eti nikakosa hamu ya kula mpaka nikakonda ukiliona leo lilivyozeeka !!utatapika! mimi ni mtoto wa kuzaliwa nalo.

Nina vichanchuda saaafiiii! vinaita Baby! baby!! Naona aibu mie kutembea na limama kama lile!! Kaogee maji ya kisima yanayo kwenda kasi wakati mvua inanyesha huku ukitaja jina lake! jaribu! mianamke michawi sana! siyo wote lkn!

Huwezi penda hivyo! Mbona binamu zetu tumetombaaa hatujawapenda kiivo tena wazuri kuliko Wema!!
 
Hizo ni nyakati za muda jipe moyo tafuta kampani mpya copy naYo

Usifanye maamuzi ya kuvuruga future wakati hizo ni nyakati
 
Omba Mungu kwa imani yako upate relief uweze kusonga mbele.. Ukiacha chuo utakuja kujuta
 
Back
Top Bottom