Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kutokana na changamoto za kwenye ndoa yangu sitoziweka hapa, nimeamua kutafuta mchepuko . Shida ilonifanya niwaulize wazoefu je huwa mchepuko unamwambia kama umeoa au unakausha kwanza, manake kuna...
13 Reactions
94 Replies
9K Views
Nmechoka na drama za mabinti wa mjini ndio maana nnataka Mwanamke mtu mzima sana umri kuanzia miaka 50 na kuendelea Uwe upo Dar Dini mkristo Uwe mkarimu na Mcheshi Uwe tayar kupima magonjwa yote...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
One month ago, nilidate na binti mmoja hivi.. When we met, alikuwa ndio kamaliza menstrual period yake.. yaani tuseme kamaliza jana halafu leo ndio kachezea mshedede. Na wakati namaliza show...
2 Reactions
78 Replies
6K Views
Hello, Jamani nyumba za kupanga zina mambo,tujenge kabla ya kuoa au tujitahidi kupanga nyumba zenye wapangaji wenye sifa kama zetu yaani kama umeoa au kuolewa panga nyumba ya watu walioolewa au...
10 Reactions
50 Replies
11K Views
Yaani hii imekaaje? Unakuta mtu unapania kabisa kua nikimpata huyu naoa kabisa, lakini baada ya kumpata na kupata unachotaka unaona kama yaani hana jipya, na unakua huna hamu naye kabisa, yani...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja amewahi kunambia kwamba ilimchukua muda mrefu kufahamu kwamba wanaume nao hulia. Akanisimulia kwamba siku moja weekend alitoka nyumbani kuelekea mahali Fulani huku akiwa amemuacha...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Hey ladies, leo nimeona tuambiane ni mwanaume mwenye tabia gani huwezi kuwa naye kwenye mahusiano? Binafsi siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume anayevaa boxer ya kitenge au mvuta sigara [emoji41]
28 Reactions
377 Replies
42K Views
Mwaka 2009 kulitokea tukio lisilo la kawaida baada ya Jambazi mwenye bastola alipovamia duka moja la urembo kwa malengo ya kuiba pesa lakini mwisho wa siku akajikuta anabakwa na mmiliki wa Duka...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
"whoever said money can't buy everything was probably broke" Ukihave enough cheddah, hata ukicheat ukiapologise inakua simple. Ukiwa caught red handed, msupuu ukimtuliza hata na ka iPhone 12 max...
12 Reactions
70 Replies
7K Views
Helloww, I hope your Christmas went well, mine is amazing! Katika kufanya fanya tathmini ya maisha kama tufanyavyo mwisho wa mwaka, nikapata mwanga katika jambo moja linalonitatiza sana. Niwe...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Hivi Hawa mademu bikra waanakuwaga na shida gani jamani.yani unakutan demu Ni ngumu kuanza kushiriki mapenzi kinomaa Yani ata selewi Nahisi naenda kuachana na huyu manzi Msaada
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Furaha ya ndoa muwe pamoja, mwanamke awe mfariji kwa Mme na Mme amfurahishe mke! Pamoja na utandawazi na kusaka maisha chondechonde Usije ukakubali Mme/ mke akae mikoa ya mbali ukitarajia ndoa...
27 Reactions
107 Replies
14K Views
Habari gani wanajamvi. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada, leo mida ya saa 10 jioni nikiwa maeneo fulani nimetulia napunga upepo akawa amepita mdada na mkaka wametangulizana basi mie nikawa...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana JamiiForums, jana kuna mtu kaniboa yaani mtu unakutana na demu hufahamiana nae unamsoundisha mara ghafla anatokea mshikaji wako wewe unamfahamu na yule msichana pia...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi ni mtu wa umbo la wastani, niliyebahatika kuishi na mwanamke kijumba na kufanikiwa kupata watoto 2, nimebahatika kujenga nae kibanda na kuwa na kausafiri ka familia. Kwa visa vya mama huyu...
12 Reactions
85 Replies
15K Views
Naelekea kufanikiwa katika juhudi zangu za kuacha uzinzi na kufanikiwa kubaki njia kuu (alhamdu lillaah) Lakini kwakuwa dini yangu imeniruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, nikaona si vibaya kuongeza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Toka nimeoa huu ni mwaka wa pili kasoro miezi 4 ila najikuta mwenye hofu na wasi wasi juu ya Mke wangu na Maisha yake ya nyuma kwa sababu naona mfano kwa wanawake wa ujana wangu wote ambao wamesha...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Nipo na mke wangu na watoto natoka kwangu mkoa fulani x ni mwendo wa kilometa kama 1000 kufika kwa wazazi wetu Dar(you know likizo time now) Sasa kwa vile jana nilikesha(kumalizia viporo vya kazi...
12 Reactions
117 Replies
11K Views
Kiukweli siwapendi wanaume wenye pesa awana utu kabisa wamejaa kiburi sana usaliti ,dharau Awana mapenzi ya dhati kabisa kwakuwa wanajiona wanauwezo wa kupata mwanamke yoyote wamtakaye wamekuwa...
24 Reactions
142 Replies
13K Views
UPENDO NA SIFA ZAKE 1 Wakorintho 13: 3 Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo, hainifaidii kitu. 4 Upendo huvumilia, hufadhili...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…