Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau, Rafiki anakaribia kumchumbia rasmi mpenzi wake wa siku nyingi hivyo ameomba kujua bei za pete za uchumba za aina za madini mbalimbali. Msaaada tafadhali
4 Reactions
122 Replies
38K Views
Kuingia mzimamzima ndio utamu wake ni kama dimbwi unajitupia tu pwaaaaa! Sio unaingia kwenye mapenzi mguu nje mguu ndani,hiyo haifai hutafaidi na unakuwa unajishitukia na hofu zisizomaana!. Hata...
12 Reactions
51 Replies
4K Views
Maisha haya ni mafupi sana. Huna haja ya kujinyima raha ya nafsi yako hata kwa dakika moja. Pwani kuna msemo kuwa "raha jipe mwenyewe". Kuna watu wanadhani wakiingia kwenye hiyo jela iitwayo ndoa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna haya mahusiano ya umbali mrefu unakuta mwanaume yupo Arusha na mwanamke yupo moro Aidha ni kwasababu ya kazi, biashara, n.k, hivyo kupelekea kutoonana kwa muda mrefu japo mawasiliano yapo...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
1. Ndugu zangu naomba kuelimishwa, elimu yangu ndogo Tena ya kuunga-unga kutokana na kure-sit Mara kadhaa bila mafanikio ya kupata Credits za kujiunga elimu ya juu zaidi. 2. Nauliza, nini...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote anapenda kujituma maji ya kunde urefu futi 5,Mkiristo...
2 Reactions
2K Replies
222K Views
Habari zenu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna watoto hapa maskani. Hawataki hata kusoma wala kujisomea, yani wakitoka shule Tv na wao, wao na TV. Yaani ukiwaambia wakasome hawataki yan...
5 Reactions
68 Replies
5K Views
Wana Jf za leo wandugu, napenda kutoa shukrani zangu kwa wale wote walionipa ideas nyingi hapo nyuma kwenye ile post yangu ya kwanza. Kwa kweli nimeanza kuona mabadiliko kadha wa kadha kutoka...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nimekua nikijiuliza sana juu ya wanawake wa sasa wanatafsiri vipi mahusiano ya kimapenzi? Ninaona asilimia kubwa(nilio wahi kutana nao) , wanatafsiri kama ni fulsa ya kupata...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Jana ofisini kulikuwa na kaparty flani cha kumuaga Mkurugenzi wetu ambaye anastaafu. Rosse ambaye ni mfanyakazi mwenzangu aligida sana pombe mpaka akapoteza network. So ikanibidi nichukue jukumu...
26 Reactions
48 Replies
5K Views
Wanandoa wa karne hii wamesahau maneno matano muhimu kwenye ndoa nayo yanaifanya ndoa kudumu. Yafuatayo ni maneno muhimu katika ndoa; 1. NINAKUPENDA Tafakari jinsi ulivyokuwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
URAFIKI HADI NDOA Vijana wengi wanaingia katika matatizo wakati wa ndoa zao kwa sababu wanasahau kiungo muhimu Cha ndoa. Kiungo hiki ni urafiki, yaani kijana wa kiume au wa kike anatakiwa...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa ikafikia hatua ya kumfanya mke wa pili? Please wanaume kuweni wa kweli hapa!
0 Reactions
109 Replies
19K Views
Miaka kadhaa nyuma wakati Posta ipo kwenye ubora wake. Wakati huo migahawa maarufu ni Steers opposite na British Council, Meals Cafe na Food World mtaa wa Azikiwe. Maisha yana mengi sana. Wenye...
72 Reactions
69 Replies
11K Views
Habari wadau Hawa viumbe kwa muonekano wako smart sana na wanavutia,, ila ndani ni wachafu hizo papuchi zao zinanuka Sijui hawaogi na kujikosha vizuri hizo papa? Unakuta bonge la sistaduu shepu...
4 Reactions
78 Replies
15K Views
Tuliachana kwa sababu zenye mashiko. Ila haishi kutuma text za kunijulia hali, Mara ohhh nimemiss ile sehemu tulipokuwa tuna kunywa vinywaji, mara aanze kunitumia text kuhusu rafiki zake ambao...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Hapo nyuma, Wafalme walikuwa na mabibi kadhaa na walizaa watoto wengi na wanawake tofauti. Wanaume walikuwa wanajiamini sana na wanawake hawakuwa wakijiamini sana kwenye suala la mahusiano. Sasa...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Kuna vitu ambavyo vinaweza kumfanya mtu asitake kuwa na mwanaume au awe bikra muda mrefu (wengine mpaka miaka 29). Baadhi ya visababishi ni: 1. Tabia; tunaita repealing behaviors. Kila mwanaume...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari Wana jf, naitwa Alfred umri 34 toka Uvinza, elimu yangu diploma na mfanyakazi katika shirika linajihusisha na huduma za kijamii, najitokeza kutafuta mchumba ambaye kama Mungu atapendeza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu ndio ukweli na ukweli ndio huu. Hakuna mwanaume mwenye hela anapenda mwanamke mwenye makalio makubwa. Wanawake wenye makalio makubwa ni kwa ajili ya wanaume masikini ili wapate faraja na...
47 Reactions
191 Replies
45K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…