Kwanini wanaume wa JF wanatamani sana kuoa?

Kwanini wanaume wa JF wanatamani sana kuoa?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,309
Reaction score
15,289
Hapo nyuma, Wafalme walikuwa na mabibi kadhaa na walizaa watoto wengi na wanawake tofauti. Wanaume walikuwa wanajiamini sana na wanawake hawakuwa wakijiamini sana kwenye suala la mahusiano. Sasa, mambo yamebadilika sana, ni wanaume ambao hawana kujiamini tena na wanawake ndio wenye kujiamini sana. Ni idadi kubwa ya wanaume ambao wanataka wake na familia na ni idadi kubwa ya wanawake ambao wanataka elimu na uhuru.

Kwa hivyo najiuliza kwa nini wanaume wengi kwenye wavuti hii wana hamu kubwa ya kupata Long Term Relationship au mke? Ni nini sababu ya kujitoa kwa mwanamke mmoja kwa maisha yako yote?

Kumbuka, ikiwa unajitoa kwa mwanamke MMOJA, huwezi kuondoka bila gharama nzito za kihemko, kifedha, na kisheria.

Kama lengo ni kuanzisha na kuendelea uzao (genetic legacy) kwanini njia mbadala zisifae?

Nina hamu ya majibu.
 
"Wanaume wengi kwenye wavuti hii wana hamu kubwa ya kupata Long Term Relationship au mke?"

Mitandaoni kuna mengi sana, huko wapo wachache wanaotafuta long-term relationship na wengi wanaotafuta unafuu wa maisha
 
Wangine wamechoka sana kusex na wanawake wengi, hivo akioa anaachana na mambo hayo kwasabab anakua na mmoja Wa uhakika.
Kikubwa wanatamani maisha ya Ndoa
Wengine ni majaribu tu
 
Kama lengo ni kuanzisha na kuendelea uzao (genetic legacy) kwanini njia mbadala zisifae?

Njia mbadala zipi?
 
Mwanamke akisema natafuta mume inakua kama anajishushia heshima. Lakini si kweli. Ila ndio wametawaliwa na kujishitukia huko.

Ila mwanamme kusema natafuta mke ni kawaida tu yani, fresh kabisa.
 
I
Mwanamke akisema natafuta mume inakua kama anajishushia heshima. Lakini si kweli. Ila ndio wametawaliwa na kujishitukia huko.

Ila mwanamme kusema natafuta mke ni kawaida tu yani, fresh kabisa.
I wish wangejua mwanamke kua kichwa si vibaya, i wish wangejua upendo nao una nguvu kwa hiyo mwanamke akitongoza mwanaume si malaya
 
Back
Top Bottom