Kwanini wanawake wengine huwa bikra muda mrefu au kutotamani wanaume?

Kwanini wanawake wengine huwa bikra muda mrefu au kutotamani wanaume?

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,230
Kuna vitu ambavyo vinaweza kumfanya mtu asitake kuwa na mwanaume au awe bikra muda mrefu (wengine mpaka miaka 29). Baadhi ya visababishi ni:

1. Tabia; tunaita repealing behaviors. Kila mwanaume unamkataa.

2. Bad background history e.g. aliona baba akimtesa sana mama yake hivyo akachukia wanaume kabisa.

3. Tom boy; mtu kuwa na hormone nyingi za kiume (testosterone) hivyo kuona wanaume ni kama jinsia nyenzake.

4. Lesbianism; kuvutiwa sana na kufanya mapenzi na mwanamke mwenzake hivyo kutotamani mwanaume.

5. Masturbation; kuona anaridhishwa zaidi na yeye mwenyewe kuliko mwanaume. Huyu hata akikutana na mwanaume bado atapiga mastur.

6. Use of dildos; hasa kwa wale wanawake wasiopenda kuwa dominated wakati wa tendo. Wanaopenda kuwa na full control hivyo kuona wanaume kama watawanyima raha.

7.Kutokuwa na hamu ya tendo (domant emotions); hii huweza kusababishwa na magonjwa kama kisukari na mengine...Kutokufanya mapenzi muda mrefu sana husababisha mwili kuwa domant pia.

8. Bad perception over sex; hapa mtu kuona sex ni uchafu au ndiyo chanzo cha matatizo yote duniani.

9 .Kushika dini sana; kuamini kuwa ataletewa na Bwana.

Mdau unaweza ongeza ya kwako.

Nawasilisha.
 
Hapo sasa ni mtu binafsi kuamua kutumia hayo maarifa kutatua tatizo.
Baada ya kujua hizo sababu unaweza kupata suluhisho na ukawala utamu? Otherwise this is an academic exercise.
 
(Uwoga au hofu) Fear- huu ni ule uwoga grade 1 na kushidwa kujiamini japo anataman kufanya tendo hilo, na tena akisikia siku ya kwanza atapata maumivu na kutokwa damu.
Fear is higher than sex feeling.
 
Hii ni point nzuri pia
(Uwoga au hofu) Fear- huu ni ule uwoga grade 1 na kushidwa kujiamini japo anataman kufanya tendo hilo, na tena akisikia siku ya kwanza atapata maumivu na kutokwa damu.
Fear is higher than sex feeling.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunadhani tunawezaje kutatua hili?
 
(Uwoga au hofu) Fear- huu ni ule uwoga grade 1 na kushidwa kujiamini japo anataman kufanya tendo hilo, na tena akisikia siku ya kwanza atapata maumivu na kutokwa damu.
Fear is higher than sex feeling.
Mkuu hii sahihi Nina Demu wangu nimemtoa Bills kikubwa Alikua ana hofu ya maumivu
 
Back
Top Bottom